Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Ha ha ha, Mungu mbariki Lowassa. Ufipa chali.Sio pigo MBONA vichwa vipo msimamisheni ndie awezae shindana na Lissu 2020,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha, Mungu mbariki Lowassa. Ufipa chali.Sio pigo MBONA vichwa vipo msimamisheni ndie awezae shindana na Lissu 2020,
Makamanda mnatapatapa. Mungu mbariki Lowassa.
Rafiki yangu turudi kigoma!babu karudi mzigoni
Ha ha ha, Mungu mbariki Lowassa. Ufipa chali.
Lowasa ni Fisadi??!Kwahiyo 2015 mulitaka tuongozwe na Fisadi sio?
Makamanda yamebaki kutapatapa tu.Tunataka MTU mwenye nyota ya pesa 2020 atutaki viongozi wa majaribio ya kuongoza ili watuvushe,Lowasa, Membe, au Lissu.
Rostam & LowassaKundi la wapiga hela hao
Ndiyo ukweli Kafumu anafumuliwa mwenye jimbo anarudi kama TrumpKweli nimekubali mwnasiasa yoyote yule haaminiki. Halafu nasikia dirisha dogo la usajili limefunguliwa tena. Naona na Rostam muda si mrefu tutasikia nae amerejea bungeni.
Lissu mteja wa jaji Mutungi atatulizwa kama maji mtunginiNi muda wa Lissu au Zitto... Mzee Lowassa acha achunge Ng'ombe zake huko Ccm.
Tunatembea na wakati.
Usiyemtaka kaja. Hapo unasemaje Kada mwaminifu?Mkuu naona unapiga ramli kuwa maembe an across borders..
Safi tuWatu wa Mungu habari zenu..
Tetesi za ndani za CDM ni maumivu makali baada ya Mh Lowassa kurudi nyumbani kumenoga..!! Yaani ni sawa kuvunjika kwa uti wa mgongo, haiwezi tena kujitutumua hata kidogo kisiasa..!! Poleeeeni..!
CCM haishindwi chochote huwa nasema hivi kila mara.. Sasa mmeona na kudhibitisha..! Chezea kitu kingine sio CCM..!! CHADEMA leo bado wako ktk maruweruwe hawajui nini kimetokea, hawaamini bado..!! Siasa mchezo mchafu sana..!! 😜😂😂
Magufuli alipo waalika wastaafu,sumaye alitamka kuwa kwenda kwako cdm ni faida kwa ccm.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania kimesema kuondoka kwa mwanachama wake, Edward Lowassa na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) hakutakuwa na madhara yoyote.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 1, 2019 na Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania, Dk Vicent Mashinji alipozungumza na Mwananchi muda mfupi baada ya Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani kutangaza uamuzi huo.
“Tunamtakia maisha mema huko aendapo, yeye ni mtu mzima anajua anachokifanya,” amesema Dk Mashinji.
Alipoulizwa iwapo uamuzi wa Lowassa unaweza kukitetelesha chama hicho kikuu cha upinzani Dk Mashinji amejibu kwa kifupi “It will never happen"(haiwezi kutokea).
Na Tausi Mbowe, Mwananchi
CHADEMA YAFUNGUKA LOWASSA KUREJEA CCM..."YEYE NI MTU MZIMA ANAJUA ANACHOKIFANYA"
Neno la Sumaye baada ya Lowassa kurejea CCM
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameeleza maoni yake baada ya kusikia Edward Lowassa kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).
Sumaye amesema "Mimi haunipi shida, mtu akiamua kuhama chama na kwenda kingine ni uamuzi wake,” alisema Sumaye.
"Kama kaamua acha aende, sisi tutaendelea kujenga chama na hicho unachokisema cha kuhama ni ndoto ambayo haipo,” amesema Sumaye alipoulizwa kama na yeye ni miongoni mwa watakaorejea CCM.
Edward Lowassa alijiunga CHADEMA Julai 2015 baada ya jina lake kuenguliwa kwenye mchakato wa kutafuta mgombea wa Urais ndani ya CCM
Neno la Sumaye baada ya Lowassa kurejea CCM - MUUNGWANA BLOG