MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Matola, ninaunga mono hoja.Baada ya mzee Lowasa kurudi nyumbani sasa wapenda mabadiriko tunataka radical politics, kale kazee kalikosema muache siasa za uanaharakati aliwapoteza, Jiwe linahitaji radical politics za jino kwa jino, Mbowe amuondowe sasa Katibu mkuu, na ajihudhuru uenyekiti apewe Lisu na Mbowe arudi kwenye ukatibu mkuu, Mashinji ni mzigo aondolewe haraka, ni Lisu pekee mwenye sifa za kuliongoza jahazi la chadema kwa sasa kuelekea uchaguzi mkuu. Mwisho samahani kwa uandishi mbovu device yangu ina matatizo nimeshindwa kuweka paragraph
Sent using Jamii Forums mobile app
Masahihisho kidogo: haya maneno niliyopigia rangi nyekundu ni baadhi ya maneno ya msingi katika kuzungumzia siasa. Sio wewe pekee, nimeshaona wana-JF wengine wanakosea tahajia zake sahihi. 'Mabadiriko' liandikwe na kutamkika 'mabadiliko' na 'ajihudhuru' liandikwe na kutamkika 'ajiuzulu'.