Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

nijuavyo mbowe yuko mahabusu,ata hivyo ukimya wa cdm kwa lowasa kurudi ssm,maana yake ni kuwa wameridhia kwa moyo mmoja,mahandeleo hayanaga chama
 
Comrade Mbowe yupo mahabusu rejea vyanzo vyako tena.
 
Lowassa alipojiunga Chadema tuliona mbwembwe za Mwenyekiti chadema Freeman Mbowe akiitisha press conference akiongea kwa complex superiority na mbwembwe nyingi kutamgaza ujio wa Lowassa Chadema.Mbona Mbowe hutoi tamko kulikoni? Unaumwa au?
Tamko atolee jera mnamkomshikilia kwa kosa lenu la mauaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamevamia bureau de change usiku usiku ili kufanya ujambazi wao. Best unayakumbuka mabilioni ya Uswiss? Hivi yaliishia wapi?
Mhu nilikuwa na mpango wa kuzamia sasa siendi mpaka kieleweke. Wenye wazazi watakoma maana zitasombwa zote. Sina baba na mama ila ndugu mnaukumbuka ule wimbo uliimbwa na mkenya mmoja? Sasa ninamuona e bibi..... kama mhenga kama asprini utaujua
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio CCM ya Magufuli mkuu.Ameona mambo hayaendi South Africa.Ujuaji juaji kule na vidili vya kijinga jinga kama bongo ni unacceptable na out of place.
Kule wala haitaji huo ujanja ujanja maana tayari ni billionaire. Business safi kabisa.
Lakini South Africa kuna akina Gupta. Dili kama Bongo
 
Chadema hakijawahi kuwashawishi watu kwa fedha wajiunge nacho. Wala jakijawahi kuwanunua wanachama wa vyama vingine. Wala hakijawahi kuwatishia au kuwaahidi vyeo fulani mara wajiungapo nacho. Wanaoendesha shughuli zote hizo nafikiri wanajulikana na hata wewe mwenyewe unawafahamu. Endeleeni kumkejeli maana sasa yuko kwenu huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa alipojiunga Chadema tuliona mbwembwe za Mwenyekiti chadema Freeman Mbowe akiitisha press conference akiongea kwa complex superiority na mbwembwe nyingi kutamgaza ujio wa Lowassa Chadema.Mbona Mbowe hutoi tamko kulikoni? Unaumwa au?
Alipo hamia alikuja na pesa ndio maana mwenye kigoda wa chama alimshangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna pointi unaweza ukaandika ikawa na maana, lakini ni bora ingekaa ubongoni kwa mtu tu, ulipenda aitishe press conference akiwa mahabusu? Sheria zinaruhusu hilo?

Katoka kijiji leo kanunua smart phone[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lowassa alipojiunga Chadema tuliona mbwembwe za Mwenyekiti chadema Freeman Mbowe akiitisha press conference akiongea kwa complex superiority na mbwembwe nyingi kutamgaza ujio wa Lowassa Chadema.Mbona Mbowe hutoi tamko kulikoni? Unaumwa au?
Pumbavu ww.....atatolea wap wakat mmelockup segerea
 
Ni maneno ambayo nayakumbuka katika mafundisho yangu ya dini, "njoo kwangu, japo dhambi zako niwe nyekundu kama damu, zitasafishwa ziwe nyeupe kama theruji"

Naona vyama vya siasa vimeliona hilo na kulifanyia kazi barabara - Lowasa akiwa CCM alikashifiwa na kusemwa kwa kila baya na wapinzani, hasa Chadema. Alipohamia Chadema dhambi zake nyekundu kama damu zikasafishwa kuwa nyeupe kama theruruji. Ila sasa kule CCM alikoondoka ikawa tatizo, weupe wa matendo yake kama theruji ukawa dhambi nyekundu kama damu - kwa kuwa tu kahamia Chadema. Kuna wakati hata akaambiwa anaropoka!

Sasa Lowasa karudi tena CCM, na ghafla dhambi zake nyekundu kama damu zimekuwa nyeupe kama theruji! Tunasubiri kusikia Chadema waanze kutueleza dhambi za LOwasa zilivyo nyekundu kama damu

Sasa kwa sisi wenye akili tusio na vyama vya siasa yote haya yanatuambia nini? Yanatuambia jambo moja la msingi - wanasiasa wote ni wanafiki tu hawana lolote la ukweli ndani yao. Sisi tuendelee na maisha yetu na kutunza familia zetu. Usikubali kugilibiwa na wanasiasa. Watakulisha upepo tu. Usikubali wanasiasa wakugombanishe na ngugu jamaa na rafiki zako.
 
Back
Top Bottom