Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

hahahaha, SACCOS iwe na bei kubwa kuliko chama kikubwa cha siasa Afrika, tangu lini?
Chama kikongwe kinachojifia "Natural Death" na Chama Chenye Damu za Moto ambacho hata Risasi za moto zimeshindwa kukipooza.
Kipi kitakuwa ghali
 
Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni

Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?

Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.

Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..

CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM

Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Kuhama kwa Lowasa hakuwezi kuwa jibu kuwa Lowasa hakuinunua cdm.

Hatujui mkataba ulisemaje pengine atarudishiwa iwapo atafukuzwa but akiondoka mwenyewe hakuna kitu kurudi, nani anajua?

Lowasa hata kama angeinunua cdm kwa 100b kuendelea kuwepo cdm ilikuwa ni hasara kwake kwa mtu anaejua biashara kuiacha cdm ilikuwa ni uamuzi wa lazima kwa Lowasa swali lilikuwa ni anaondokaje?

Kama Lowasa angeihati urais alipaswa kuhakikisha cdm inapata matokeo mazuri kwenye chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu hiyo ni hela, usiongelee hela ya luzuku ya cdm 300m kila mwezi haitoshi kulipa watumishi wa chama, viongozi na kusimamia shughuli za chama mwezi mzima na ibaki igharamie uchaguzi Lowasa lzm angeingia mfukoni

Uchaguzi mkuu mwakani angeingia mfukoni tena kwa faida ipi? Now Lowasa hawezi kumshinda JPM rais mwenye tume ya uchaguzi, dola na hazina kubwa wa wanaccm mafia chama.

Biashara isiolipa hata kama umetumia shilingi ngapi kuifungua uamuzi wa busara ni kuifunga/kuachana nayo na sio kuwa kama mcheza kamari anaemangwa mpaka nyumba akikazana kurudisha 1mil.yake aliyomangwa awali.

Acheni mzee astaafu siasa kwa amani ameionyesha cdm heshima kubwa Sana.
 
Ndugu zangu Watanzania huu ndio wakati Muafaka wa kuihama CCM na wala msijihusishe nayo na wala msiipie Kura iogopeni kama ugonjwa wa Ukoma.
 
Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni

Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?

Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.

Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..

CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM

Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Wananchi mwaka 2015 waliichagua chadema japo uchakachuaji ndiyo uliwapa ushindi CCM, kwa kweli wapiga kura walifanya vizuri, Tatizo lipo kwa tume ya uchaguzi kuwapora ushindi.
 
Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni

Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?

Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.

Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..

CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM

Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.

Lissu bana

na kuwa wanaorudi ccm wananunuliwa haujaiona??

kuna vitu vya kukaa kimya

EL kurudi CCM ni mshutko na pigo kubwa sana!!

Lowassa??? na kura zote zile? nguvu zote zile? mihemko yote ya CDM

ungekaa kimya tu

pia mtu kuninua kitu unaweza kukitupa kama hakina faida!!!
 
Kuhama kwa Lowasa hakuwezi kuwa jibu kuwa Lowasa hakuinunua cdm.

Hatujui mkataba ulisemaje pengine atarudishiwa iwapo atafukuzwa but akiondoka mwenyewe hakuna kitu kurudi, nani anajua?

Lowasa hata kama angeinunua cdm kwa 100b kuendelea kuwepo cdm ilikuwa ni hasara kwake kwa mtu anaejua biashara kuiacha cdm ilikuwa ni uamuzi wa lazima kwa Lowasa swali lilikuwa ni anaondokaje?

Kama Lowasa angeihati urais alipaswa kuhakikisha cdm inapata matokeo mazuri kwenye chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu hiyo ni hela, usiongelee hela ya luzuku ya cdm 300m kila mwezi haitoshi kulipa watumishi wa chama, viongozi na kusimamia shughuli za chama mwezi mzima na ibaki igharamie uchaguzi Lowasa lzm angeingia mfukoni

Uchaguzi mkuu mwakani angeingia mfukoni tena kwa faida ipi? Now Lowasa hawezi kumshinda JPM rais mwenye tume ya uchaguzi, dola na hazina kubwa wa wanaccm mafia chama.

Biashara isiolipa hata kama umetumia shilingi ngapi kuifungua uamuzi wa busara ni kuifunga/kuachana nayo na sio kuwa kama mcheza kamari anaemangwa mpaka nyumba akikazana kurudisha 1mil.yake aliyomangwa awali.

Acheni mzee astaafu siasa kwa amani ameionyesha cdm heshima kubwa Sana.
Weka Akiba ya Maneno.
 
Weka Akiba ya maneno
 
Lowasa hakuinunua chadema na wala hakuwa na hiyo pesa huo uzushi propaganda zilitengenezwa makusudi kwa nia ya kuwahujumu chadema lakini wenye Akili walijua na kuzinduka mapema lakini wale vilaza wajinga wasiojitambua hawajazinduka wamekariri mpaka leo wakizani kukariri kwao uzushi wa CCM ni ujanja kumbe ni ujinga uliopitiliza sana, Lowasa alikuwa na nyote kipindi kile popote angekwenda angepokelewa hakuhitaji kununua chochote kwani hata hiyo pesa kubwa hivyo hakuwa nayo acheni kuendelea kukariri ujinga wananchi wanataka maendeleo pia mrudishe trilion 1.5 mlizotafuna mkagawana kimya kimya wenyewe.
 
Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni

Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?

Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.

Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..

CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM

Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Hahahahahhaaaaaaha.

Siasa za Tanzania ni kama Simba na Yanga, ni mchezo tu. Wachezaji baada ya mechi wako pamoja lakini washabiki kiwanjani wanakufa kwa ugonjwa wa moyo.
 
Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni

Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?

Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.

Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..

CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM

Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Kama wewe ni mmoja wa viongozi wa CHADEMA nikushauri tu uwashauri wenzako kuweka nyumba yenu katika hali ya mafanikio badala ya kusingizia upande wa wapinzani kwa matatizo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...mnanichanganya kwelikweli....hivi ni CCM imemnunua Lowassa au Lowassa kainunua CCM?[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lowasa alihamia free chadema na sasa kaenda CCM kuokoa mashamba yake mali zake zisitaifishwe na mkwe wake atoke jela kwa lugha ingine hiyo ni aina Fulani ya Rushwa ya kisiasa , lowasa kaogopa kufirisiwa amerejea CCM siyo kwa kupenda bali kuokoa mali zake.
 
Huku ENL huku RA upande ule joka lenye makengeza hapo CCM inatokaje? Mapacha watatu wamerudi kivingine kuimiliki CCM. CCM imekuwa sacos ya mapacha watatu.

Kweli nakumbuka walisema Chadema imenunuliwa 10 billion, Mbowe kapokea malipo.

Tunaomba kujua Mbowe amerudisha pesa? CCM imenunuliwa kwa bei gani?

Siasa za Tanzania tamu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom