Kuhama kwa Lowasa hakuwezi kuwa jibu kuwa Lowasa hakuinunua cdm.
Hatujui mkataba ulisemaje pengine atarudishiwa iwapo atafukuzwa but akiondoka mwenyewe hakuna kitu kurudi, nani anajua?
Lowasa hata kama angeinunua cdm kwa 100b kuendelea kuwepo cdm ilikuwa ni hasara kwake kwa mtu anaejua biashara kuiacha cdm ilikuwa ni uamuzi wa lazima kwa Lowasa swali lilikuwa ni anaondokaje?
Kama Lowasa angeihati urais alipaswa kuhakikisha cdm inapata matokeo mazuri kwenye chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu hiyo ni hela, usiongelee hela ya luzuku ya cdm 300m kila mwezi haitoshi kulipa watumishi wa chama, viongozi na kusimamia shughuli za chama mwezi mzima na ibaki igharamie uchaguzi Lowasa lzm angeingia mfukoni
Uchaguzi mkuu mwakani angeingia mfukoni tena kwa faida ipi? Now Lowasa hawezi kumshinda JPM rais mwenye tume ya uchaguzi, dola na hazina kubwa wa wanaccm mafia chama.
Biashara isiolipa hata kama umetumia shilingi ngapi kuifungua uamuzi wa busara ni kuifunga/kuachana nayo na sio kuwa kama mcheza kamari anaemangwa mpaka nyumba akikazana kurudisha 1mil.yake aliyomangwa awali.
Acheni mzee astaafu siasa kwa amani ameionyesha cdm heshima kubwa Sana.