Tetesi: Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari kesho kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
Hiyo press naona mleta mada amelala akaota ila hakuna jambo kama hilo. Mods nao naona wapo tu
 
Hata ungekuwa wewe ungefanya maamuzi magumu kwa wakati uliopo. Jiulize, binti yupo nyumbani akimlilia baba amsaidie kumwombea kwa mwenye mamlaka kutokana na influence aliyonayo ili mmewe aachiwe kutoka korokoroni anakoshikiliwa.
Mkwara wa Lukuvi japo yupo serious kuwa ranch zote zirudi zilikotoka bila kujali ziliuzwa au kukodishwa si wa kitoto na huenda ndio mpango mkakati! Na hili la maswahiba wake kina nani wa benki iloyohifadhi zile za epa na yule mwanasheria nguli wa bot na hata katibu aliyemaliza mgomo na kurejea yena ofisini japo tuliambiwa katumwa India napo pana shida!
Ukiyaangalia yote kwa macho ya moyoni unauona kabisa mpango wa polepole unafanikiwa kirahisi wa kumrejesha huyu mzee alikotoka na usisahau kutembelewa kwa mzee asiyeamini uwepo wa Mungu kule muhimbili na mazungumzo yake kugeuzwa kinyume! EL, hata mimi ningerejea kama nalibutua kombolela kuwaokoa mateka! Rudi kwani cdm haijawahi kukosa makamanda wa ukweli!
 
Mi sifatilii siasa za Tanzania toka mwaka Jana mwezi July 2017!
 
Hiyo sababu ya kwanza ina maana akiachiliwa ni sawa na kusema kuwa either madaraka yalitumika vibaya katika kumuweka ndani or upendeleo umechangia kutolewa kwake (ni sawa na rushwa in kind). Inatoa picha gani kwa wananchi wa kawaida?
 
Akirudi mkampokea vipi ile aganda yenu ya kuwafukuza mafisadi, ile hoja yenu kwamba huyu mtu kakosesha chadema Sera ya kupinga ufisadi utaisha?. Aisee lowassa akirudi ccm itapendeza sana maana kwanza kafifisha chadema pili atawafunga ccm mdomo kusema mafisadi wako cdm maana hiyo anayeitwa fisadi atakuwa kwao sasa.
 
Deal done
Mimi nina pesa ambazo nikizatandaza barabarani zinaanzia dar to dodoma halaf unasema unataka kuninunua nihamie....nikuambie tu ntahama kwa mapenzi tu au sababu nyingine ya kisiasa ila sio PESA
 
Dikteta Lema anaminya uhuru wa Lowasa kutoa maoni yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…