Elections 2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

Hakuna mungu wewe tapeli.
Mkuu Kiranga na hakuna Mungu yako, haina mashiko!. Hili la kuitana tapeli nalo neno!.
Nakuomba nenda kanisome imani yangu HAPA hizi kauli zako za hakuna Mungu ni mafanikio makubwa sana ya kishetani kuwaaminisha the weaks ones kiimani kama wewe kuwa hakuna Mungu na mkaamini!.

Wether you like it or not Mungu yupo!, na umuamini au usumuami, yeye ataendelea kuwepo!. Thare is nothing new under the sun, kila linalotokea, limeishakuwepo na limeisha pangwa miaka milioni nyingi nyuma, hivyo rais wa Tanzania 2015, aliishapangwa na kuandikiwa siku nyingi, kinachosubiriwa sasa ni taratibu tuu, kusubiria kumtangaza na kuapishwa!. Whoever aliyeandikiwa ndiye atakaye kuwa and no ane can do anything kuzuia.

Kama walivyo wengine, na wewe subiri tuu siku ya siku, uushuhudie utukufu wa Mungu!.

Pasco.
 
Hivi huyu Mzee mnamuhangaisha kwa nini? hivi mali alizonazo azimtoshi mpaka anataka ulaji kupitia Urais, Umri wake umeenda muno kiasi kwamba kizazi cha digital kina kasi zaidi kitamsumbua.. Lowasa akalee wajukuu wa Mwanae Rich-m bwana. Kha!
 

Wala hakuna shetani. Na huna jipya katika habari zako za kutumia jina la mungu kuhalalisha matakwa yako ya kisiasa.

Hata wafalme wa zamani aana wa Kichina na mafarao wa Kimisri walitumia gia ya mungu.

Ishapitwa na wakati.
 

Kukushauri kuwa utumie kiswahili badala ya kutumia kiingereza kibovu ndio umezusha haya na panic zote hizi?
 
JP Magufuli ni chaguo la watanzania wengi, anecdotal evidence inaonyesha ivyo, anakubalika katika makundi yote, vijana, wazee, wanawake, hadi wapinzani..kizuri kinajiuza, hauitaji kutumia pesa nyingi kujitangaza kama matangazo ya biashara.
 
Huyu ndio Pasco ,eti patachimbika asipochaguliwa Edward Ngoyai Lowasa mmmmmh
1.Patachimbika kivipi?
2.Unauhakika gani?
3.Na umeshafanya maandalizi ya kuchimbika?
 
Last edited by a moderator:

Mungu yupi maana wako wengi sana
 
EL akipitishwa na ccm kwa ushabiki; tena kwa sababu ya vijisent tu! Tutakuwa tumepitisha dalali aliyepindukia kwenye mambo ya ufisadi. Nchi ilipo kwa sasa inataka rais msafi asiye na makundi.

Siasa ni mchezo unaochezwa kitimu na kawme si kama mtihani ambayo kila mtu hufanya kivyake kuwa na kundi ndio njia moja kufanya siasa. CCM ni kundi tayari. Lowasa ana kundi kubwa la ccm. Je hii ni dhambi? Mahakama kila siku zinawashughulikia wezi, mbona lowassa hashitakiwi? Mafanikio ya mtu yasiwe tabu
 
Ni ukweli ulio wazi bila kificho, kwa hali ilivyo sasa ukiweka unafikiri, uzushi, kejeli, matusi, kashfa pembeni Edward Lowassa ndiye chaguo la wengi isipokuwa wachache tu.

Kwa hali ilivyo, Lowassa ni raisi hata bila kuwepo na kupigiwa kura wala kampeni. Napredict BIG IMPACT endapo chama cha mapinduzi hakitampitisha kupeperusha bendera ya ccm.

Enyi ccm na wanaccm, mpetisheni Lowassa kwani ni chaguo la wananchi wengi bila kujali ushabiki wa vyama vyao. Hata wapinzani wanakiri hawana ubavu wa kupambana nae katika uraisi.

Twende na Lowassa 2015.com
 
safari yenye matumaini sima a uhesabiwe,!nakuunga mkono
 
Mkuu kusema ukweli mimi siwezi kwenda na huyu mwizi fisadi asiyekuwa hata na chembe ya huruma kwa mali za taifa hili wewe kama umeweza kunufaika nazo hizo za ufisadi wewe nenda naye mfanikiwe salama japo mungu hayupo upande wenu.
 
Twende nae huyu ndio mwenyewe anafaa hakuna mwingine zaidi yake
 
Mkuu kusema ukweli mimi siwezi kwenda na huyu mwizi fisadi asiyekuwa hata na chembe ya huruma kwa mali za taifa hili wewe kama umeweza kunufaika nazo hizo za ufisadi wewe nenda naye mfanikiwe salama japo mungu hayupo upande wenu.

wengi tuko nae, wewe pita kushoto
 

Ndiyo maana wapinzani hawasemi chochote mpaka sasa. Wanasubiri atemwe CCM wampe nafasi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…