Elections 2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

Mwisho wa Rais muhuni na mwizi katika ikulu yetu ni huyu aliyepo sasa. Tunataka kurudisha utakatifu wa ikulu. Lowasa hana nafasi maana ni mwizi mwingine.
 
Akawe raisi wa Monduri lakini si kwa nchi yetu,never ever!
 
Bobani umenena sana BASHE NA GENGE LAKE WANATAKA KUUZA NCHI
Mwl. Nyerere,,,,,HAKUNA MTANZANIA ANAYE WEZA KUNUNUA WATU KABLA YA YEYE KUWA AMENUNULIWA.

haya maneno ya kuuza nchi yapo tangu enz za mkoloni na bado nchi ipo. Propaganda tu hizi.
 
We mburula kweli nimekosa cha kuandika kwani huoni nimesema kuwa Lowasa ni fisadi mimi siendi naye mie nahitaji kiongozi mzalendo na mwenye mipango ya kuwaletee maendeleo watanzania siyo fisadi kama Lowasa.

neno fisadi limekukaa kichwani kama konda na vituo, twende kazi.
 

chaguo la wengi chaguo la wengi maana yake nini hata khanga yenye maua mazuri wengi wanaitaka aende upinzani
 
....kwani malinzi amemaliza muda wake ? au uraisi gani...
 

Hizo zote ni hisia na unadhani Lowassa akitupwa na kwenda upinzani then ameshashinda ila nakukumbusha anaweza kwenda upinzani na CCM ikamsimamisha mtu anayekubalika kama Magufuli ambaye naamini hata team Lowassa wanajua ni kizingiti kwao. Na kosa kwenye kampeni za Lowassa ni kudhani pesa pekee ndio muhimili wa kupata urais na kudhani akishapitishwa na CCM ndio kazi imeisha.
Naomba nikueleze siasa zimeshabadilika CCM lazima wawe na mgombea ambaye atawapa wabunge wa kutosha (anayekubalika kwa wananchi) na ukiangalia Lowassa wapambe wake wengi ni waliochafuka kwenye maeneo wanayotoka kama akina Chenge.
Hii inamaana wasipokuwa makini na kudhani wameshapata urais watajuta na utawala unaweza kumshinda kwani idadi ya wabunge ikiwa chache hataweza kutawala hapo ndio hasa Magufuli amewazidi nguvu wengine kwani ndio mtu pekee CCM anayeweza kunadi wagombea na wakakubalika kwa wananchi.
Kitu kingine ni mfumo wa maisha yetu na fikra za wananchi huwa ni negative kwa matajiri, pale mtu anapojinadi ni tajiri tayari kwenye jamii anaonekana ni adui na mwizi hata kama ni pesa halali. Ukutaka kushinda kwenye siasa zetu kuwa mnyenyekevu kuliko kuonyesha utajiri
 

Mafisadi wajiandaa kuchafua Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake: Taarifa tulizozipata zisizotiliwa shaka ,Ni kwamba Genge la Mafisadi likiongozwa na baadhi ya wahariri na kijana mmoja Mwenye asili ya Kisomali anayetoka kanda ya Ziwa,limejipanga kwa vita ya kuanza kuwachafua, baadhi ya viongozi wa chama na waasisi wa Taifa hili ikiwemo Familia ya mwalimu Nyerere.

Mkakati huo ni mahususi kwa ajili ya kuhakikisha kila anayejiandaa kuchukua fomu kupambana na mgombea wao anachafuliwa kama alivyochafuka Mzee wao anayetaka Urais kwa udi na uvumba.Baadhi ya vijana hao wamepanga kuendesha mkakati huo kupitia Mitandaoni na baadhi ya Wahariri,akiwemo Mhariri aliyeshambuliwa miaka miwili iliyopita na kwenda kutibiwa Afrika kusini.

Wataanza kuendesha mkakati huo kuanzia Jumatatu hii kwa kutumia vyombo vya habari vinavyomilikiwa na mafisadi hao. Hasira hizo zimekuja baada ya JK kutamka CCM haitompitisha mgombea yeyote mwenye doa,hii ni hatari sana!
Nawasilisha,
UKANA SHILUNGO.
 

usijidanganye ndugu yangu hata huyo magufuli knows huyu leigwenan ndiye anayehitajika na wananchi, huu siyo wakati kujifariji bali ni wasaa wa kung'ata jongoo kwa meno na kuweka kinyaa pembeni. Ccm inajua hivyo na wamejiandaa.

Kingunge alichofanya ni ni kuua unafiki na double standard ndani ya baraza la wazee, ile ilikuwa ni turufu ya wakubwa kutaka kuwatumia wazee kuhalalisha agenda yao huku wakijivua lawama....

Ndani ya ccm hakuna aliye juu zaidi ya ccm....na hali inawataka wote watambue jamii ili iirudishe ccm madaraka ni nani wanayemtaka bila bila kupepesa macho....

Acheni masihara ktk kulinda maslahi ya chama chetu, kama wakati wako umeisha kubali kuwapisha wengine kwa manufaa ya chama chetu na wananchi.

Anayepingana na hili haitakii mema ccm na wananchi walio wengi.

Pamoja na lowassa tutavuka tu 2015
 

Ahsante
 
Unajikanganya Pasco, wewe hela ya lowassa ushawahi kula au bado? Unasifia mtu wako muhimu kuwepo kwenye timu yenye hela, then eti hujawahi kuila hiyo hela, how?

Usitufanye watoto kaka!!

Mkuu;
Anadhani hatufanyi records za comments & mishauo yake.

Watu ni Vichwa Vya Panzi kwelikweli. Na hapo umemkaba sharubu vizuri sana.
Bravo!
 
Mkuu;
Anadhani hatufanyi records za comments & mishauo yake.

Watu ni Vichwa Vya Panzi kwelikweli. Na hapo umemkaba sharubu vizuri sana.
Bravo!
Mkuu Tuntemeke, kati uhuru zote, uhuru ambao ni absolute free, hauna mipaka, wewe unakuwa uko huru kufikiri chochote na hakuna mwenye uwezo wa kuuingilia uhuru huo wa kufikiri only if kama fikra hizo you can just keep them for yourself, ukiishaamua kusema, unageuka ni freedom of expression, uko huru kusema chochote, ili mradi uwe na uhakika wa unachokisema vinginevyo ni kuropoka!, na hii ndio faida ya jf, uko huru to express you thoughts hata kama ni uongo, utunzi, uzushi, ngojera etc, be free!.

enjoy your freedom in jf, seam chochote kuifurahisha nafsi yako!.

Pasco
 

Na hapo ndipo ninapotofautiana na wengi(you including).

Yaan hata matusi,uchochezi na ushenziushenzi vyote sawa tu?(kisa ni JF). Jirekebisheni ndugu. Mtavuna mnayoyapanda.

Zaid nikwamba, umeruka kiunzi cha hoja ya jamaa niliyem'quote. Kuwa na kumbukumbu na muungwana tafadhali. Wewe ni mwandamizi wa Lowasa,unamtumikia (reference zmetolewa hapo juu) ila unajaribu kutusadifisha kwamba sio kweli(nadhani baada yakuona ni mwizi na tunampigia mayowe).


Over!
 

dalili zaonyesha wazi kuwa EL ataishia kupita tu pale kweny mtaa wa magogoni lakini hataingia na kuweka himaya yake. hii itampa presha kubwa na ndio itakuwa ni kuelekea alikoelekea yule jamaa wa ZAMBIA.
SWALI kwa nyie wapambe wake atakapoelekea hukooo alikoelekea jamaa wa ZAMBIA je NA nyie kutokana na mapenzi yenu kwake je mtamfuata huko atakoelekea baada ya kuangukia PUAAAA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…