TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Kila nafsi itaonja mauti tutende mema tukiwa hai kifo ni ibada!
 
Nikiambiwa nitaje Wanasiasa BORA wa muda wote yaani pure Politicians hapa Tanzania nitawataja hawa:-

1) J.K Nyerere (R.I.P)

2) E. M. Sokoine (R.I.P)

3) Salim Ahmed Salim

4) E. N. Lowassa (R.I.P)
 
Urongooo
 
Tangu augue, chadema hawajawahi kwenda kumsalimia
 
Very sad .
Apumzike kwa Amani.
 
Nenda kwa amani Mzee Edward Lowassa lakini pole kwa familia ila Mungu awatie nguvu wakati huu mgumu.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
 
Acha urongo. Tatizo la maji Chalinze lilimalizwa na JK Kwa kushirikiana na Wachina. Maana walikua jamaa anaenda kuukwaa ukuu wakafanya jambo
Hata kama una chuki na Lowassa lakini jaribu kuipunguza kidogo.

Wakati mradi wa maji wa mto Wami unajengwa Waziri wa maji alikuwa mh Edward Lowassa na mh Kikwete alikuwa Waziri wa mambo ya nje chini ya uongozi wa mh Benjamin Mkapa.

Hata kama mradi huo umefadhiliwa na wachina lakini kulikuwa na msaada wa aliyekuwa Waziri wake ambaye ni Lowassa.
Hata siku ya uzinduzi wa mradi huo marehemu mzee Mkapa aliwamwagia sifa kemkem askari wake wa miavuli hao wawili mh Lowassa na mh Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…