TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Mwaka 2015 haukuwa rafiki kwa wagombe nafasi ya urais , hakuna yoyote angemaliza term yake ya 10 years ikiwa wangeshinda
1. JPM
2. BERNARD MEMBE
3.MAALIM SEIF
4.EDWARD LOWASSA
5. nani anafuata?

Kuna mtabiri mmoja aliwahi kusema ilikua Ni lazima hayo yatimie ili rais wa kike aingie then aje rais mwengine ataetoka upande wa pili wa siasa.

R.i.p yule mtabiri.
 
Mwaka huu Tunarudi kati tena blv me.
Halafu kuna kitu nyingine ipo nje ya Boksi, nayo itatiki.✅️, acha na hii iliyotengwa asaivi inasubiri refa tuu.
Code zako Kali sana we jamaa!!!
Maudhui uliyooandika

1.Tutapata mwingine Tena si ndio!!?

2.yupo mwingine atatangazwa tena so ndio!!?
Au!!?
 
R.I.P Lowassa, tunakupenda sana. Ulitufundisha kuwa watulivu katikati ya mawimbi no wonder ulipendwa na wananchi wa pande zote mbili bila kujali dini wala chama au kabila. Hukuhubiri siasa chafu wala visasi ila upendo na kuvumiliana.

You'll always be remembered on the political corridors for your unique charisma and influence.
 
Alie wahi kua Rais wa yanga nae kamsindikiza .
 
Mola wetu ampe faraja ya kudumu kulingana na utashi wake. Lowasa siyo Waziri Mkuu "Mustaafu" ila ni Waziri Mkuu "wa Zamani aliejiuzulu".
 


Kuna wakati ilisemwa humu kutumia wino mwekundu kunaleta taharuki, JF wakaacha kutumia rangi hiyo na kutumia nyeusi vipi leo wametumia red tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…