Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
R.I.P mh Lowasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2015 haukuwa rafiki kwa wagombe nafasi ya urais , hakuna yoyote angemaliza term yake ya 10 years ikiwa wangeshinda
1. JPM
2. BERNARD MEMBE
3.MAALIM SEIF
4.EDWARD LOWASSA
5. nani anafuata?
J. MANYUZI NYUZIMwaka 2015 haukuwa rafiki kwa wagombe nafasi ya urais , hakuna yoyote angemaliza term yake ya 10 years ikiwa wangeshinda
1. JPM
2. BERNARD MEMBE
3.MAALIM SEIF
4.EDWARD LOWASSA
5. nani anafuata?
Code zako Kali sana we jamaa!!!Mwaka huu Tunarudi kati tena blv me.
Halafu kuna kitu nyingine ipo nje ya Boksi, nayo itatiki.✅️, acha na hii iliyotengwa asaivi inasubiri refa tuu.
😅😃Tulikubaliana wazuri hawafi
Alie wahi kua Rais wa yanga nae kamsindikiza .
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa.
Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kujiuzulu.
WASIFU WA EDWARD NGOYAI LOWASSAEdward Ngoyai Lowassa anatoka katika jamii ya Wafugaji Kaskazini mwa Tanzania. Alizaliwa August 26 mwaka 1953 katika Kijijini cha Ngarashi Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Edward Lowasa ni mtoto wa tatu wa Mzee Ngoyayi.
Kitaaluma Lowasa ni msomi , akiwa na shahada kwanza kutoka chuo Kikuu cha Dar es salaam na shahada ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Bath huko Uingereza (1983-1984).
Uzoefu katika siasa
Ingawa baba yake alikuwa mfugaji aliwahi pia kufanya kazi kama tarishi katika serikali ya wakoloni.
Alijiunga na chama cha CCM mara tu baada ya kumaliza elimu yake ya chuo kikuu mwaka wa 1977.
Kabla ya kugombea Ubunge , aliwahi kutumikia Jeshi la Tanzania na hata kupigana katika vita kati ya Tanzania na Uganda vilivyopelekea Idd Amin kuondolewa madarakani.
Baada ya hapo alikuwa Mtumishi wa Umma kwa miaka kadhaa kabla kuteuliwa kuwa Mbunge kuwajilisha Vijana na kujiunga rasmi na siasa.
Mwaka wa 1990 alijitosa ulingoni kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la uchaguzi la Monduli.
Alifanyikiwa kwa miaka yote hii Lowassa ameendelea kulishikilia jimbo hilo la uchaguzi hadi alipolazimika kuliachia ili kuwania Urais.
Mwaka 2015 alipowania Urais haikuwa mara yake ya kwanza kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwani mwaka 1995, alikuwa miongoni mwa watangaza nia 15, hata hivyo nafasi ikachukuliwa na Benjamin William Mkapa.
Hata hivyo tofauti na matarajio ya wafuasi wake, Mwaka 2005, Lowassa hakuwania nafasi hiyo, badala yake aliunga mkono rais anayemaliza muda wake Jakaya Kikwete.
Je Lowassa amewahi kuwa nani katika nyadhifa alizozipitia Kiserikali?
Edward Ngoyayi Lowassa amewahi, kuwa Waziri wa Maji na Maendeleo ya Mifugo, Ardhi na Maendeleo ya Makazi pamoja na nafasi nyinginezo.
Lakini pia nafasi za juu alizowahi kuzipata ni pamoja na kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania kuanzia mwaka 2005 mpaka Febuari 7 mwaka 2008, alipolazimika kujiuzulu baada ya madai ya kuhusishwa katika kashfa ya rushwa ya Kampuni ya Richmond, Madai ambayo bwana Lowassa aliyakanusha hadi sasa.
Katika siasa, Lowassa anafahamika kama mtu wenye misimamo mikali,kwa kile anachokiamini mwenyewe kama siasa zinazo ambatana na maamuzi magumu.
Licha ya kuwa mwanachama wa CCM kwa miaka 38, bwana Lowassa aliwashangaza wanachama wa CCM kwa uamuzi wake wa kukihama chama hicho. Hatua iliyochangiwa na yeye kutoridhrishwa na jinsi uteuzi wa wagombea urais wa kilichokuwa chama chake ulivyoendeshwa.
Alijiunga na chama cha kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Kilichukuwa mojawapo ya vyama vinne vya upinzani vinavyounda umoja uitwao, UKAWA katika Uchaguzi wa mwaka 2015
Kufuatia uamuzi wake wa kubadili chama, Edward Lowasa amelazimika pia kubadili msimamo wake wa kisiasa na kuwa mpinzani wa chama tawala na sera aliziunga mkono na kuzitumikia awali, jambo ambalo linawatatanisha wakosoaji wake .
Hii ilikuwa mara yake ya pili kujaribu kuingia ikulu.
Ebhaneee duhSamia Suluhu Hassan.
Mola wetu ampe faraja ya kudumu kulingana na utashi wake. Lowasa siyo Waziri Mkuu "Mustaafu" ila ni Waziri Mkuu "wa Zamani aliejiuzulu".

Marehemu hasemwi vibaya mkuu,fukia mashimo.Alisababisha tukaitupa DHAHABU yetu kwa ajili yake, lakini akaitusaliti katikati ya vita!
Any way, R.I.P!
Baba Riz akipewa azungumze wote tutashangaaR.i.P Classmate....[emoji25]
Hapa ndipo tutauona unafiq grade one wa wanasisasa kwenye msiba wako..[emoji26]
Pia Ana Mgwira mgombea wa ACT WazalendoKuna mtabiri mmoja aliwahi kusema ilikua Ni lazima hayo yatimie ili rais wa kike aingie then aje rais mwengine ataetoka upande wa pili wa siasa.
R.i.p yule mtabiri.
Hapo umemsahau Ditopile.Samwel Sitta
Edward Lowasa
Bernard Membe
Achana na wajinga mkuu ahsante kwa taarifaUmeshapata taarifa ya msiba wahi msibani
Sure!!?Ina maana awe JAL3!!?ungetumia code.mkuu!!!!Samia Suluhu Hassan.