TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

RIP Kiongozi...

Idea yako ya kuanzisha shule za sekondari kila kata imeendelea kudumu...

Ila zimechakaa sana.
Hakuianzisha yeye. Ilianza zama za Mkapa, sema 2006 shule (kata) nyingi zikawa zinajikongoja ndiyo akashupalia zaidi. Ndiyo maana shule kongwe za kata zilifunguliwa 2004, 2005 nyingi 2006.

Pia alizipa push kwa walimu kwa kuanzisha walimu wa vodafasta, walisoma wiki tatu Hadi miezi miwili na kukabidhiwa kituo.
 
Angekuwa ana act mapema hivi kwa mambo makubwa ya nchi pia ingependeza.

Umeme kaona tuzoee
Maji mvua zjnanyesha ila hayatok tuzoee
Miradi ya Taifa ni ipi na imefika hatua gani

Nasikia Wizara za Somalia hazina fedha kabisa (hazina hakuna kitu).
Taifa liko gizani hatuna umeme kauchuna! Kaibukia kwingine kana kwamba suala la umeme halimhusu!
 
May he rest in Eternal Peace, Ameen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…