TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Mh. Lowassa, Atakumbukwa kwa mradi wa kupeleka maji ya Ziwa Victoria sehemu mbalimbali za Tanzania. Nakumbuka kabla ya kupeleka huo mradi, baadhi ya sehemu hapa nchini, ndoo ya maji ya lita 20, ilikuwa inauzwa 500/=. Lakini baada ya mradi, ndoo ya maji ikashuka hadi 20/=!
Huo ndo unafuu wa maisha tunaoutaka.

Lakini mapuuzi mengine, yenyewe yapo yapo tu, kazi kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi hasa wa hali ya chini kwa kuongeza kodi za ajabu ajabu zisizo na tija.
 
Taarifa zaidi itatolewa na familia na serikali. Poleni wote

Nafsi wakati wa kifo

Kwa mujibu wa Hadith, mtu anapokufa, roho hutoka chini ya mwili kwenda juu kabla ya kuuacha mwili na macho yanakunja kama roho inaacha mwili. Kwa mujibu wa Hadith iliyopokewa na Umm Salama, amesema: “Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliingia kwa Abu Salamah (baada ya kufa) na macho yake yakafumbuka, akayafumba kisha akasema: 'Nafsi inapochukuliwa, macho huifuata.'” (Imeripotiwa na Swahiyh Muslim, 1528).

Nafsi baada ya kifo

Baada ya mtu kufa, roho hupelekwa mbinguni na malaika wawili na hatima yake inategemea hali yake ya uadilifu. Kwa mujibu wa Hadith ya Abu Hurayrah ambaye amesema: “Inapotwaliwa roho ya Muumini hukutana na Malaika wawili wanaoichukua…” (Msimulizi akasema: kisha akataja harufu yake nzuri na harufu ya miski). Watu wa mbinguni husema, 'Roho njema iliyotoka ardhini, Mwenyezi Mungu akubariki na mwili uliokuwa ukiishi humo. Kisha wanaipeleka kwa Mola wake Mlezi, ametakasika na kutukuzwa, kisha Anasema: Zungukai nayo mpaka mwisho wa dunia. Nafsi ya kafiri inapotoka… (msimulizi alitaja harufu yake iliyooza na laana). Watu wa mbinguni husema: Ni roho mbaya iliyotoka ardhini, kisha ikasemwa, 'Zunguka nayo mpaka mwisho wa dunia.' Abu Hurayrah akasema: kisha Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akaweka kipande cha kitambaa juu ya pua yake, hivi. (Imeripotiwa na Muslim, 5119).
 
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametangaza hii leo.

images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom