MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
RIP Mzee lowasa 2015 mpambano uliushinda SEMA usalama wakapora haki Yako na kumpa jiwe wa chato ila kombe lilienda monduli RIP tena Mzee wa uvumilivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseeee.My feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!
Walikata jina lake CCM bila sababu akaenda upinzani akashinda akanyimwa haki ya kuongozaAmenyimwa haki gani mkuu na hao uliowalaani?
Makonda....Kwaheri Mzee mwema
Ulisalitiwa na uliowasaidia kuingia ikulu
Ugomvi wenu ukatuepushia yule fisadi mwenzao membe
Mungu akatupeleka kwa mzalendo Magufuli
Wewe na magufuli kazi yenu bado haijakwisha yupo mzalendo ataimalizia
Punguzeni mizaha.Chadema wanakujaje hapo?Akiwa tundu lisu utakua utu wa hali ya juu