MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Aseeee.My feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!
Walikata jina lake CCM bila sababu akaenda upinzani akashinda akanyimwa haki ya kuongozaAmenyimwa haki gani mkuu na hao uliowalaani?
Makonda....Kwaheri Mzee mwema
Ulisalitiwa na uliowasaidia kuingia ikulu
Ugomvi wenu ukatuepushia yule fisadi mwenzao membe
Mungu akatupeleka kwa mzalendo Magufuli
Wewe na magufuli kazi yenu bado haijakwisha yupo mzalendo ataimalizia
Punguzeni mizaha.Chadema wanakujaje hapo?Akiwa tundu lisu utakua utu wa hali ya juu