Mkuu
The bold
Nashukuru sana kwa majibu yako murua kabisa, kiukweli nilitegemea kabisa kupata response ya namna hiyo kutoka kwako
🙂
Naomba twende polepole mkuu,
Nakubaliana na maelezo yote uliyotoa hapo juu (kuna elimu umeniongezea na pia kunipa homework ya kusoma nini katiba ya marekani inazungumza kuhusu masuala ya ulinzi). Nami naamini utakubaliana nami kuwa SEAL team 6 is the most secretive military unit katika historia ya Marekani. Tangu mwaka 1981 wamefanya operations nyingi za kibabe, lakini hakuna hata chembe robo ya siri iliyowahi kuvuja kutoka kwao.
Sasa tujiulize baada ya baadhi SEAL team 6 kuuwawa, ndipo wakaibuka watu 2 akiwemo huyo O'Neil wakavujisha siri za ndani za SEAL team 6 kuhusu oparetion Neptune, hadi kufika hatua ya kupublish kitabu na kutuaminisha kuwa yeye ndiye shooter aliyemuuwa Osama.
■Je kwanini O'Neil aliibuka baada ya mauaji ya members kadhaa wa SEAL team 6? Why not earlier before the massacre?
■Je kwanini SEAL team 6 hawakumchukulia sheria O'Neil kwa kosa la kuvujisha siri (uhaini)?
■Kwanini SEAL team 6 iliruhusu kitabu chake kiwe published na kisambazwe mitaani?
Binafsi naamini kina O'Neil ni watu tofauti kbs waliotumika kucover up saga nzima ya kuuwawa kwa team iliyohusika kumuuwa Osama (fake), walitumika mahususi kuiaminisha dunia kuwa kama shooter yupo hai basi members wengine wapo hai, na kwamba waluouwawa Afghanistan si timu iliyomuuwa Osama. (Nakataa kuwa O'Neil ni m1 ya walioshiriki ktk operation Neptune spear).
Pia nisikilize kwa umakini... kwa mara nyingine utakubaliana nami kua SEAL team 6 is the most secretive military unit in US, hivyo basi hakuna anayejua wale walioshiriki kwenye Osama raid ni kina nani, na pia hakuna anayejua wale waliouwawa kwenye ndege ya kivita ni kina nani. Lakini tukiangalia circumstantial evidence (ushahidi wa kimazingira) tunagundua kuwa waliouwawa ni team ya waliomuuwa Osama. Kivipi sasa?
■ Ni kwanini mission 1 tu iuwe wanajeshi wengi zaidi ya wanajeshi wote waliowahi kuuwawa kwenye historia ya SEAL team 6? (It must have been planned).
■ Kwanini interval ya muda kati wa wanajeshi waliouwawa Afghanistan na wale waliouwawa kwenye mafunzo ya parashuti ni mdogo sana? (It must have been planned).
■ Kama kweli SEAL team 6 walikuwa na oparesheni ya kivita Afghanistan, kwanini baada ya kulipuliwa ile ndege iliyouwa wanajeshi, hawakutuma ndege nyingine yenye wanajeshi wa SEAL team 6? Hapa naamini ile ilikua ni mission ya kuwauwa waliomuuwa Osama fake, la'sivyo basi wangetuma wanajeshi wengine wakamalizie mission waliyokusudia huko Afghanistan.
Tuendelee mkuu
The bold