Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Biashara ilishaisha pale ni storyza kufikirika!marekani sio wajinga kiivo mtaalam kama Huyo Mr snowden aachiwe azururule kama kuku wakienyeji!hapo sio sema kwa ufupi CIA very technical watadukuliwa hao Russia wakome!!that's a fact
 
Miaka michache nyuma Marekani walimkamata Saddam Hussein akiwa katika harakati za kutoroka, picha zake zilisambaa dunia nzima. Picha zake akiwa ananyongwa zilichukuliwa na Wamarekani na wakazisambaza kwa maksudi kinyume na sheria. Pia hata mwili wake baada ya kunyongwa uligaiwa kwa ndugu kwajili ya mazishi. Na kama hiyo haitoshi mtoto wa Saddam naye aliuwawa na picha zake zikasambaa kote ulimwenguni. Tukiacha hilo naamini Marekani alikuwa anahusika kifo cha Gaddafi, picha za kuuwawa kwake zilisambaa kote duniani.

Kwanini Marekani walishindwa kusambaza picha za mwili wa adui yao namba moja. Walishindwaje kuutoa mwili wake kwajili ya mazishi. Kama hiyo ilikuwa ngumu walishindwaje japo kutoa DNA proofs za kufo cha Osama.

Bado naamini Osama yupo hai, na kama amekufa basi alikufa kwa sababu za kibaolojia.
Nimesoma Uzi wako wote pamoja na kuanza vzr kote lkn umekuja kujichanganya ktk swala LA Osama kufanya kua ndio kusudio lako kuu kwa swala lilotokea LA Snowden.

Kwa kifupi ni kwamba Snowden ni MTU mdogo sn kwa US na pia huyo ni double standard agent.

Kuhusu kuwawa kwa Osama ni kweli alikufa Na Ata wake zake walithibitisha hilo.

Unatoa hoja dhaifu sn eti kwanini Saddam picha zake mpk alipozikwa zilizagaa! ..

Eti kwanini Gadaffi

Eti kwanini vyombo vya usalama vya US vilikua havishirikiani Na Pakistan. Zote hizi ni hoja dhaifu sn tena sn....

Ukiwa Na time niambie tuyajadili haya.
 
Mkuu hebu toa hoja dhabiti za kuonyesha kuwa osama alikufa
 
Hizi story za ki spy ni za ajabu kweli. Inawezekana akawa kaambiwa na C.I.A/FBI atorokee huko Russia nao Russia bila kujua wakampokea na sasa yupo kazini kwa ajili ya marekani.

Au Russia wao ndio waliomwandaa na kumwezesha kujiunga na mashirika ya kijasusi ya marekani. Na sasa baada ya kupata taarifa zote muhimu kuhusu marekani kakimbilia kwa jamaa waliomtuma kufanya aliyotakiwa kuyafanya.

jamaa ataishi kwa shida sana aisee.
Mi nahis Jamaa atakua ameshiriki kwenye kuchakachua uchaguzu wa marekan ili kuangusha chama cha OBAMA
[HASHTAG]#NawazaTu[/HASHTAG]
 
Hii kali kabisa kumbe inawezekana kabisa CIA wamemtrain kuwa aende Rusia akajifanye anakandia Marekani wakati huo anafanya udukuzi Rusia na kupeleka Marekani.Na inaelekea habari atazipata kilaini maaana wanamuamini kuwa yeye ni mtu wao sasa dah haya mambo ya uspy kiboko mtu anaweza kujifanya mpaka kichaaa mla uchafu kabisa lakini kumbe ni bonge la shushushu tena lenye mcheo mkubwa.
Ila huyu Snowden mwisho ataishia kuwa double agent labda na hata hao wanaonunua habari kutoka kwake kama Ujerumani nakadhalika sidhani kama wanamfurahia maana wanajua alishawadukua mataifa yote makubwa hivyo anawajua kama wako uchi.
Jamaaa lina miakili extra dah ila ndio atakuwa amefundishwa jinsi ya kujificha kukwepa adui anaposmell fish kwa hiyo atakuwa anaishi kwa machale balaaa.
Lakini nimegundua hizi laptop hizi hasa za mashirika ya kimataifa ambazo zinafanyiwa setup huko huko majuu wewe ukifungua tu unaanza kupiga mzigo mhhhh nazo ni mma nyingine zinatumika mno mno kupata taarifa za pahala fulani ulipo.
Kwa taarifa yako hao huwa wana slogan yao 'Trust No One'
Snowden kuwa Russia haimaanish kuwa wamemwamini kwa 100% never.Atakaa pale na hawatampeleka hata sebuleni kwao nini chumbani.
 
Biashara ilishaisha pale ni storyza kufikirika!marekani sio wajinga kiivo mtaalam kama Huyo Mr snowden aachiwe azururule kama kuku wakienyeji!hapo sio sema kwa ufupi CIA very technical watadukuliwa hao Russia wakome!!that's a fact
Mkuu likikima je tuseme ni kwamba NSA/CIA ni wapumba.vu hadi kumruhusu Snowden akatoe siri zao nzito ili tu waweze kuwaSpy Urusi, taarifa alizovujisha Snowden zinagusa nchi kubwa kama Israel, Uingereza, Ujerumani, Brazil, Canada, China, Urusi, Sweden, Uswiss, Uholanzi na nchi zingine nyingi, siri hizo pia zimeanika mipango ya US juu ya UN, EU, WB na mashirika mengine makubwa, siri hizo pia zinahusisha mipango ya US juu ya viongozi wakubwa kama Angel Mikel, viongozi wa Indonesia, Viongozi wa Islam Marekani. Je marekani ipo tayari kumtengeneza undercover mmoja atakayewagombanisha na makampuni yao makubwa kama Apple Inc, Exxon Mobil, Vodafone, AT&T, Google, Microsoft, Verizon, Yahoo, prism.
 
Snowden kwanza alitoa Siri zake akiwa Hong Kong na kulikuwepo jitihada kubwa sana kumkamata na kumpeleka marekan lakin china walikataa kumkamata ndio urusi ikatoa ofa ya kumpa hifadhi ya muda na c kwamba alitorokea urusi kutoka marekan nilikuwepo Hong Kong wakat wa hilo saga. Na kwa kipande hicho kidogo cha uongo siiamin tena story yako yote.
Kero yangu kwako ni ku quote uzi mzima hii ni kero kwa mtumiaj wa simu[emoji17]
 
Nimemkumbuka Barali, Bin Laden
3ba874a23a04027d61b1c7fe768ab631.jpg
 
Nimesoma Uzi wako wote pamoja na kuanza vzr kote lkn umekuja kujichanganya ktk swala LA Osama kufanya kua ndio kusudio lako kuu kwa swala lilotokea LA Snowden.

Kwa kifupi ni kwamba Snowden ni MTU mdogo sn kwa US na pia huyo ni double standard agent.

Kuhusu kuwawa kwa Osama ni kweli alikufa Na Ata wake zake walithibitisha hilo.

Unatoa hoja dhaifu sn eti kwanini Saddam picha zake mpk alipozikwa zilizagaa! ..

Eti kwanini Gadaffi

Eti kwanini vyombo vya usalama vya US vilikua havishirikiani Na Pakistan. Zote hizi ni hoja dhaifu sn tena sn....

Ukiwa Na time niambie tuyajadili haya.

Mkuu Ntuzu mbona sioni hoja kwenye ulichoandika (no disrespect).
>>Huko kujichanganya unakozungumzia ni kupi?
>>Unaposema Snowden ni mtu mdogo kwa US unamaanisha nini?
>>Je ni lini wake zake walikuwa wazungumzaji wa Osama/Al Qa'ida?
>>Niambie kwanini maiti za Saddam/mtoto wa Saddam/Gadaffi zilisambazwa lkn maiti ya Osama ilitoswa baharini?
>>Je unafahamu lolote kuhusu uhusiano aliokuwa nao Osama na Pakistani?

Ukiwa tayari jibu hoja zangu kwa hoja.
 
Km uko online tujadili kitu kimoja baada ya kingine.

Tuanze Na swala LA wake za Osama Bin Laden.

Wake za Osama bin Laden baada ya mume wao kuuwawa wilishikiliwa Na serikali ya Pakistan pamoja Na makachero Wa US kwa muda Wa mwaka mzima then wakaja kuachiwa huru Na kuruhusiwa kurudi ktk nchi zao. Sasa km ni tukio LA kupangwa ilikuaje hawa wake zake wazuiriwe Na wao walikua wakikiri kuvamiwa Na majeshi ya USA Na mume wao kuuwawa. Hili liko wazi na ni moja ya ushahidi kutoka kwa wake zake kua mume wao aliuwawa. Hakuna ushahidi mwingine waweza kupatikana kwa karibu km huu Wa wake zake
 
Mkuu Ntuzu mbona sioni hoja kwenye ulichoandika (no disrespect).
>>Huko kujichanganya unakozungumzia ni kupi?
>>Unaposema Snowden ni mtu mdogo kwa US unamaanisha nini?
>>Je ni lini wake zake walikuwa wazungumzaji wa Osama/Al Qa'ida?
>>Niambie kwanini maiti za Saddam/mtoto wa Saddam/Gadaffi zilisambazwa lkn maiti ya Osama ilitoswa baharini?
>>Je unafahamu lolote kuhusu uhusiano aliokuwa nao Osama na Pakistani?

Ukiwa tayari jibu hoja zangu kwa hoja.
Maiti za Gaddafi Na mtoto wake hizi maiti hazikuuliwa Na majeshi ya USA. Hawa waliuwawa Na waarabu wenyewe tena ambao walikusudia kumdhihaki Gaddafi.

Nikija ktk swala LA Saddam. Us ndio waliokuwa wakimshikilia Saddam Na baada ya Saddam kunyongwa US waliuchukua ule mwili Wa Saddam kwa Helicopter ya kijeshi mpk ktk mji Wa asili Wa Saddam kwa ajili ya mazishi Na wakamchukua Shekhe kumfanyia taratibu za mazishi Na baada ya mazishi kilichofata wakaruhusu watu waweze kutembelea hilo kaburi matokeo Yake ummati mkubwa ulifumuka kwenda ktk hilo kaburi Na Saddam ghafla akawa Shujaa Na mahujaji mbali mbali kutoka sehemu mbali mbali wakawa wanaenda hapo Na kujikuta wanapatikana kina Saddam wengine Na kuzaliwa wengine wengi ktk misimamo ya itikadi Kali hichi ndio kitu ambacho serikali ya USA ilijifunza Na kuamua mwili Wa Osama uzikwe sehemu isiyojulikana.
 
Mkuu ONTARIO,

Shukrani za dhati kabisa kwa makala nzuri ya kufikirisha. Nimeona makala zako mbili mwanana kabisa.. Nimepata fursa ya kuisoma hii kwa makini na naahidi kusomana ile nyingine baadae..

Nashukuru kwa kunitag,

Naomba nami nitoe mchango wangu wa mawazo si kwa kupingana nawe, la hasha bali kwa nia ya kujadili.. Najihami mapema maana mawazo yangu juu ya hili yako tofauti.

Kabla ya yote kabisa, niseme hivi:

Snowden hajawahi kutamka kuwa Osama yuko hai.!! Nasisitiza HAJAWAHI KUTAMKA kuwa Osama yuko hai..

Nitafafanua..

Binafsi habari hii nilisikia kwa mara ya kwanza mwezi August.. Kwamba "snowden amefichua siri kuwa Osama yu hai.."
Nikashangaa kwanini sijaisikia hii habari mapema (nafuatilia sana habari za intelijensia, uhalifu na zinazofanana na hizo).

Kwahiyo, nikaanza kuitafuta hii habari katika vyombo vya habari (vya nje)! Guess what? Hakuna..
Kwenye websites? Hakuna..

Nikashangaa inawezekanaje habari kama hii isiandikwe na vyombo vyovyote vya habari??? Hata kwenye websites??

Habari zote kuhusu mambo yote aliyofichua Snowden zipo, lakini hii ya kwamba amesema Osama yuko hai haipo..

Nikaingia YouTube (mahojiano yote ya snowden yapo YouTube)
Jambo la ajabu hakuna mahojiano yoyote yanayo muonyesha Snowden kutamka ati Osama yu hai..

Huko nyuma niliwahi kuzipitia documents alizovujisha snowden kwenye mtandao wa Wikileaks lakini sikuwahi kuona hicho kitu but kwa kujiridhisha nikaenda tena Wikileaks kusoma tena documents za Snowden..!! NOTHING kuhusu Osama kuwa hai (unaweza kwenda kucheki)

Hapa nikaanza kuhisi hii kitu ni 'tantarira'.. Nikaenda kugoogle nione ni watu gani wameiandika.. Nikakuta ni viwebsite vidogo vidogo vile vya kukopiana na kupaste.. Na hii habari jinsi walivyoiandika ina fanana kabisa kwenye viwebsite hivyo vyote, so nikaelewa that means wameikopi kutoka mahali Fulani..

Kwahiyo nilichofanya nikaanza 'kubacktrack' nipate source ya walipo itoa..

La haula.!! Hahahaha, gues what.. Unajua imetoka wapi???????

World News Daily Report

Kwa wasiofahamu hii website mtashangaa kwanini nimecheka!

WorldNewsDailyReport.com ni "fake news" website. Vitu wanavyoweka kwenye website yao ni "hoaxes"..

Let me make it easier for you...

Disclaimer yao inasoma hivi:

WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of its content....

Do you see that???

Najua watakuwepo wanaopingana nami so I challenge them, kama hatukubaliani naomba nipewe source hii habari imetolewa wapi?? Kwamba "snowden kasema Osama yu hai" where did you guys get this from??

Snowden kavujisha siri nyingi (za kweli), lakini hili tunampaka matope awe muongo coz hajawahi kulisema.. Kama amewahi tuweke Video clip, Link ya website (credible website sio za vichochoroni), news article, etc..

Kwahiyo..

Kama tunajadili kuhusu Osama kuwa hai au amekufa, kwanza kabisa tumuondoe Snowden kwenye equation kwasababu HAJAWAHI KUSEMA hicho kitu.. Kwasababu hii hoja ya Osama kuwa hai na kufichwa au kuwa ni Oparative wa CIA inatiliwa uzito kwa kuweka jina la Snowden.. Sasa tuanzie hapo kwanza!!
Tukisha liclear hili nami nitatoa hoja zangu kuhusu kufa/kuwa hai kwa Osama..

Muhimu: Nasisitiza lengo langu sio kumpinga mtoa uzi bali ni kujadili..

The Bold.

Cc: ONTARIO, STUNTER, Nifah, mamaafacebook II, peterchoka, Ruttashobolwa, kbosho
Nadhani hata kama Osama ameamua kujificha ili tusijue alipo au ameamua kuacha ugaidi na kupumzika ,sioni athari zake labda ni sisi tu tunajipa tabu kwa kukabwa na kiu ya umbea,...
Na haya yote yanatokea kwasababu watu wame poteza amani na taifa la Marekani
 
Mkuu Ntuzu mbona sioni hoja kwenye ulichoandika (no disrespect).
>>Huko kujichanganya unakozungumzia ni kupi?
>>Unaposema Snowden ni mtu mdogo kwa US unamaanisha nini?
>>Je ni lini wake zake walikuwa wazungumzaji wa Osama/Al Qa'ida?
>>Niambie kwanini maiti za Saddam/mtoto wa Saddam/Gadaffi zilisambazwa lkn maiti ya Osama ilitoswa baharini?
>>Je unafahamu lolote kuhusu uhusiano aliokuwa nao Osama na Pakistani?

Ukiwa tayari jibu hoja zangu kwa hoja.
Uhusiano aliokua nao Osama Na USA ulikua ni wakati ule Wa vita vya kuwafukuza warusi ktk jamhuri ambazo zilikua chini ya USSR. Sasa Osama alitumika sn kuwahamasisha mujahidina kuweza kupambana Na Russia. Na baada ya hapo Osama akabaki kua RAIA Wa kawaida mfanya biashara mkubwa Na mwanasiasa ktk nchi Yake ya Saudia mpk pale walipomfukuza Na kumfutia uraia wake kwa kosa LA jaribio lake kutaka kuuwa utawala Wa king Abdulah Wa Saudia kwa kile Osama alidai kua utawala huo uliwapa makafiri ardhi ili kuwashambulia waarabu na waislamu wenzao. Na baada ya hili jaribio kushindwa Na kufutiwa uraia Osama akaazimia kuanzisha harakati za kupambana Na USA Na akaanza kutembea all over the world kuhubiri jihad Na Imani Yake ya itikadi Kali huku akitafuta Na kusajiri vijana kwenda kupata mafunzo mbali mbali ya kivita na utekaji Na kutumia silaha Na dhana mbali mbali. Mambo haya yalifanyika kutokea miaka ya 90 mwanzoni mpk ilipokuja kua attacked WTC.
 
Mkuu Ntuzu mbona sioni hoja kwenye ulichoandika (no disrespect).
>>Huko kujichanganya unakozungumzia ni kupi?
>>Unaposema Snowden ni mtu mdogo kwa US unamaanisha nini?
>>Je ni lini wake zake walikuwa wazungumzaji wa Osama/Al Qa'ida?
>>Niambie kwanini maiti za Saddam/mtoto wa Saddam/Gadaffi zilisambazwa lkn maiti ya Osama ilitoswa baharini?
>>Je unafahamu lolote kuhusu uhusiano aliokuwa nao Osama na Pakistani?

Ukiwa tayari jibu hoja zangu kwa hoja.
Pakistan iliamua kumficha Osama Na wakati Osama akiwa Saudia huku akiwasapoti mujahudina wakati Wa kuwatimua warusi huko Afghanistan, Osama ndio aliekua akiwashauri taifa LA Pakistan kumiliki nishati Na dhana za kivita za nyukilia. Na baada ya hapo kua anatafutwa Na USA, Pakistan Na vyombo vyake vya usalama waliamua kumficha Na wakawa wanashiriki Na USA kumtafuta Osama kwa upande mmoja Na upande mwingine wakiwa wanamsaidia kitu ambacho US waliamua kutengeneza kitengo kingine cha kumtafuta Osama bila kushirikiana Na taasisi za usalama za Pakistan.
 
Maiti za Gaddafi Na mtoto wake hizi maiti hazikuuliwa Na majeshi ya USA. Hawa waliuwawa Na waarabu wenyewe tena ambao walikusudia kumdhihaki Gaddafi.

Nikija ktk swala LA Saddam. Us ndio waliokuwa wakimshikilia Saddam Na baada ya Saddam kunyongwa US waliuchukua ule mwili Wa Saddam kwa Helicopter ya kijeshi mpk ktk mji Wa asili Wa Saddam kwa ajili ya mazishi Na wakamchukua Shekhe kumfanyia taratibu za mazishi Na baada ya mazishi kilichofata wakaruhusu watu waweze kutembelea hilo kaburi matokeo Yake ummati mkubwa ulifumuka kwenda ktk hilo kaburi Na Saddam ghafla akawa Shujaa Na mahujaji mbali mbali kutoka sehemu mbali mbali wakawa wanaenda hapo Na kujikuta wanapatikana kina Saddam wengine Na kuzaliwa wengine wengi ktk misimamo ya itikadi Kali hichi ndio kitu ambacho serikali ya USA ilijifunza Na kuamua mwili Wa Osama uzikwe sehemu isiyojulikana.
Mm nakushauri achana na mambo ya ya kiusalama.
Ya kimarekan na dunia kwa jumla ukifuatilia uzi vizuri utaelewa kwann osama hajauwawa.
Kwan kwenye usalama wa marekani watu kama osama wapo wengi.
Kwa hyo ukimuua mtu kama osama wengine hawatakuwa na amani na utaharibu mfumo mzima wa kiusalama tafakari
 
Back
Top Bottom