Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Kifo cha Osama nilikua wa kwanza kupinga, tena kwa kutumia common sense tu kwamba kama ameuawa mbona mbona Dunia haikupata kushuhudia maiti ya Osama kama walivyofanya kwa Gaddafi?
Hoja za Snowden kuprove kwamba Osama hajafa zina tally na uhalisia!

Pili Kuna jambo hapa haijakaa Sawa,
Mtoa Mada umesema baada ya Snowden kuona jinsi CIA wakitoa rushwa nyingi kwa maafisa wa benki ya Dunia ndio imekua sababu pekee ya kumwaga Siri za kijeshi, mipango, technology, tactics na baadhi ya operation za Siri za kijeshi za marekani?

Au Kuna sababu nyingine mbali na hiyo?, maana kitendo cha kwenda urusi kutafuta Hifadhi ili amwage Siri za marekani kwa sababu tu aliona CIA wakitoa Hongo naona ni ngumu kumeza!
 
Mwanzo umeeleza vizuri ila Mwishoni huku kwenye Osama umetoa hoja dhaifu sana sana.

Cc [HASHTAG]#The[/HASHTAG] Bold
 
Watu wenye mawazo mgando kama wewe ni watu wa kukemewa sana;hili ni jukwaa huru na Makala yake ni nzuri na inaeleweka.Wewe mwanamme usipende kukatisha watu tamaa kwa ajili ya sifa.[emoji35]
hivi wewe binti upo?
 
Hadi sasa snowden ameshindwa kuleta ushahidi kuwa Osama yu hai...Nilitegemea Snowden angekuwa wa kwanza kuthibitishi ULIMWENGU Osama ni mzima ili kuwaumbua Marekani.

Lakini nimependa hii makala
 
Watu wenye mawazo mgando kama wewe ni watu wa kukemewa sana;hili ni jukwaa huru na Makala yake ni nzuri na inaeleweka.Wewe mwanamme usipende kukatisha watu tamaa kwa ajili ya sifa.[emoji35]
Sio kosa lake huyoo mi wivuuuu
 
Kifo cha bin Laden si serekali ya marekani kwa maana ya mashirika ya ujasusi na usalama ama huyu snowden wanazungumza ukweli. Inaweza ikawa ni kweli aliuliwa na c.i.a. lakini wao walitakiwa waionyeshe dunia ushahidi wa picha ya maiti ya Osama.

Snowden naye kwa kuwa alishaamua kuiharibia serekali ya marekani naye alete ushahidi kuthibitisha osama yu hai. Vinginevyo kwa wote wawili inabaki kuwa cospirancy theory.

Mkuu umeandika vizuri na umeeleweka .

Pamoja
Si unaambiwa alitoa document zinazoonyesha malipo yk kutoka kwa CIA mkuu
 
Unajua kuwepo au kutowepo hai kwa huyu mtu hadi leo kumegubikwa na sintofahamu nyingi kiasi kwamba unashindwa kuelewa ushike kipi uache kipi.

Kuna article moja niliwahi kusoma inasema Osama aliuwawa na wanajeshi wa pakistani alipojaribu kuteka kambi ya jeshi ambayo ilikuwa inaushirikiano na wanajeshi na vyombo kma CTU
Lol mkuu which is which Sasa?

Ila nachoamini kama marekani wametekeleza shambulizi la kumuuua Osama Basi Kwa kupenda kwao sifa tukio lingewekwa hadharani ukiangalia n alikua gaidi alietafutwa kama hela
 
Miaka michache nyuma Marekani walimkamata Saddam Hussein akiwa katika harakati za kutoroka, picha zake zilisambaa dunia nzima. Picha zake akiwa ananyongwa zilichukuliwa na Wamarekani na wakazisambaza kwa maksudi kinyume na sheria. Pia hata mwili wake baada ya kunyongwa uligaiwa kwa ndugu kwajili ya mazishi. Na kama hiyo haitoshi mtoto wa Saddam naye aliuwawa na picha zake zikasambaa kote ulimwenguni. Tukiacha hilo naamini Marekani alikuwa anahusika kifo cha Gaddafi, picha za kuuwawa kwake zilisambaa kote duniani.

Kwanini Marekani walishindwa kusambaza picha za mwili wa adui yao namba moja. Walishindwaje kuutoa mwili wake kwajili ya mazishi. Kama hiyo ilikuwa ngumu walishindwaje japo kutoa DNA proofs za kufo cha Osama.

Bado naamini Osama yupo hai, na kama amekufa basi alikufa kwa sababu za kibaolojia.
Nakubaliana na ONTARIO
 
Hizi story za ki spy ni za ajabu kweli. Inawezekana akawa kaambiwa na C.I.A/FBI atorokee huko Russia nao Russia bila kujua wakampokea na sasa yupo kazini kwa ajili ya marekani.

Au Russia wao ndio waliomwandaa na kumwezesha kujiunga na mashirika ya kijasusi ya marekani. Na sasa baada ya kupata taarifa zote muhimu kuhusu marekani kakimbilia kwa jamaa waliomtuma kufanya aliyotakiwa kuyafanya.

jamaa ataishi kwa shida sana aisee.
mkuu hili swali ndio hata mimi huwa najiulizaga na kama russia hajamtuma we unadhani akishamaliza kutoa siri watamfanyaje " traitor never leave"
 
Kipindi sisi tunawaza kujikwamua na tatizo la kula,wenzetu wanafikiria mbali,mtazamo wangu ,huu ni mpango wa kujua urusi na uchina wana uwezo upi. Miaka michache ijayo tukionacho ni kudharirishwa kwa taifa imara kutageuka uimara kwa taifa hilo. Hv twajuaje kama alifanya na dell hakusaidia sehemu ya dell kuwa hacking device? Mfano kama ndani ya boards za dell kukiwa na device zenye kutuma taarifa kwenye sattellite maalumu na device hizo ziwe shielded ,Edward hawezi kuwa amesaidia udukuzi kwa waliomtuma kwa mfumo wa mtorokaji na mropokaji, kama alichukizwa na rushwa je fedha kwa hao watumishi wa WB ilikuwa lazima wapewe cash?
Pia haiwezi kuwa njia ya kuhalalisha watumishi katika mataifa mengine kutowa kile binadamu aaminicho ni siri mahala pasipotakiwa na wenye mataifa wakilalamika wanapigwa na kuambiwa mbona US alivumilia? Ni mtamo wangu.
Hii inaitwa "creatical thinking"
 
Back
Top Bottom