Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Mkuu ONTARIO,

Shukrani za dhati kabisa kwa makala nzuri ya kufikirisha. Nimeona makala zako mbili mwanana kabisa.. Nimepata fursa ya kuisoma hii kwa makini na naahidi kusomana ile nyingine baadae..

Nashukuru kwa kunitag,

Naomba nami nitoe mchango wangu wa mawazo si kwa kupingana nawe, la hasha bali kwa nia ya kujadili.. Najihami mapema maana mawazo yangu juu ya hili yako tofauti.

Kabla ya yote kabisa, niseme hivi:

Snowden hajawahi kutamka kuwa Osama yuko hai.!! Nasisitiza HAJAWAHI KUTAMKA kuwa Osama yuko hai..

Nitafafanua..

Binafsi habari hii nilisikia kwa mara ya kwanza mwezi August.. Kwamba "snowden amefichua siri kuwa Osama yu hai.."
Nikashangaa kwanini sijaisikia hii habari mapema (nafuatilia sana habari za intelijensia, uhalifu na zinazofanana na hizo).

Kwahiyo, nikaanza kuitafuta hii habari katika vyombo vya habari (vya nje)! Guess what? Hakuna..
Kwenye websites? Hakuna..

Nikashangaa inawezekanaje habari kama hii isiandikwe na vyombo vyovyote vya habari??? Hata kwenye websites??

Habari zote kuhusu mambo yote aliyofichua Snowden zipo, lakini hii ya kwamba amesema Osama yuko hai haipo..

Nikaingia YouTube (mahojiano yote ya snowden yapo YouTube)
Jambo la ajabu hakuna mahojiano yoyote yanayo muonyesha Snowden kutamka ati Osama yu hai..

Huko nyuma niliwahi kuzipitia documents alizovujisha snowden kwenye mtandao wa Wikileaks lakini sikuwahi kuona hicho kitu but kwa kujiridhisha nikaenda tena Wikileaks kusoma tena documents za Snowden..!! NOTHING kuhusu Osama kuwa hai (unaweza kwenda kucheki)

Hapa nikaanza kuhisi hii kitu ni 'tantarira'.. Nikaenda kugoogle nione ni watu gani wameiandika.. Nikakuta ni viwebsite vidogo vidogo vile vya kukopiana na kupaste.. Na hii habari jinsi walivyoiandika ina fanana kabisa kwenye viwebsite hivyo vyote, so nikaelewa that means wameikopi kutoka mahali Fulani..

Kwahiyo nilichofanya nikaanza 'kubacktrack' nipate source ya walipo itoa..

La haula.!! Hahahaha, gues what.. Unajua imetoka wapi???????

World News Daily Report

Kwa wasiofahamu hii website mtashangaa kwanini nimecheka!

WorldNewsDailyReport.com ni "fake news" website. Vitu wanavyoweka kwenye website yao ni "hoaxes"..

Let me make it easier for you...

Disclaimer yao inasoma hivi:

WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of its content....

Do you see that???

Najua watakuwepo wanaopingana nami so I challenge them, kama hatukubaliani naomba nipewe source hii habari imetolewa wapi?? Kwamba "snowden kasema Osama yu hai" where did you guys get this from??

Snowden kavujisha siri nyingi (za kweli), lakini hili tunampaka matope awe muongo coz hajawahi kulisema.. Kama amewahi tuweke Video clip, Link ya website (credible website sio za vichochoroni), news article, etc..

Kwahiyo..

Kama tunajadili kuhusu Osama kuwa hai au amekufa, kwanza kabisa tumuondoe Snowden kwenye equation kwasababu HAJAWAHI KUSEMA hicho kitu.. Kwasababu hii hoja ya Osama kuwa hai na kufichwa au kuwa ni Oparative wa CIA inatiliwa uzito kwa kuweka jina la Snowden.. Sasa tuanzie hapo kwanza!!
Tukisha liclear hili nami nitatoa hoja zangu kuhusu kufa/kuwa hai kwa Osama..

Muhimu: Nasisitiza lengo langu sio kumpinga mtoa uzi bali ni kujadili..

The Bold.

Cc: ONTARIO, STUNTER, Nifah, mamaafacebook II, peterchoka, Ruttashobolwa, kbosho
 
Cc: ONTARIO, STUNTER, Nifah, mamaafacebook II, peterchoka, Ruttashobolwa
Duuuuh baada ya kusoma haya nachelea kusema hili ni tango pori
Maana hii makala imekolezwa na alichokisema Snowden.
Sasa kama ni uongo hakusema basi makala yote ni habari za kusadikika tu.
 
Snowden namfuatilia saana na twitter namfuatilia daily na kwenye blog yke

Snowden anaamini kwenye privacy na NSA walikuwa wana monitor watu wote waishio USA simu zao na wa nje ya nchi,snowden jambo lile alikuwa analichukia ndio akavujisha siri kwa RAIA na alivujisha siri pia NSA walikuwa wanawa spy viongozi wakubwa wa nchi

Yaani CIA warisk uhusiano wao na Germany, France nk ili snowden wamtumie urusi??haingii akilini

Kama unamfuatilia snowden basi utajua anachopigania ni privacy kwa watu

Bila yy watu wasingejua

-Tails
-Qubes
-whoinex

Na njia zingine za kujilinda

Ndio maana wananchi wa usa wanamuona shujaa kwa kuwapa siri na namna wanavyochunguzwa

Naamini 100% snowden siyo double agent ni mpiganaji wa freedom of speech

Saizi serikali ya Obama inalaumiwa sana na mwenendo wake wa kuchunguza RAIA..ss CIA wamtumie snowden kudhoofisha na kuleta chuki baina ya serikali yake na wananchi!?

Pia snowden yupo chini ya supervision ya kgb hotelininchipy ataufanya vp?

Na double agent mzuri ni yule anaetakiwa kuaminisha watu asilimia 100 kuwa sio double agent!....
 
Mwanzo umeeleza vizuri ila Mwishoni huku kwenye Osama umetoa hoja dhaifu sana sana.

Cc [HASHTAG]#The[/HASHTAG] Bold

Mkuu ungeuonyesha udhaifu wenyewe kwa hoja iwe faida kwa wote ,usiishie tu kutoa maneno yasio na mantiki...Tuendelee..
 
asante mkuu kwa wapenda sifa USA kama kwel walimuua osama wangetangaza na kuonesha picha zake hadharan...
 
Mkuu ONTARIO,

Shukrani za dhati kabisa kwa makala nzuri ya kufikirisha. Nimeona makala zako mbili mwanana kabisa..

The Bold.

Cc: ONTARIO, STUNTER, Nifah, mamaafacebook II, peterchoka, Ruttashobolwa
Mkuu The bold

Kiukweli nilikua nashangaa sana uzi unafika karibu comment ya 150 hakuna mtu yoyote aliyetoka nje ya box na kuhoji kwa undani kuhusu swala hili kwa facts zilizoshiba, pia nilitegemea kutokea wanaJF wachache ambao wangepingana nami kwa hoja, lkn hawakutokea, baada ya kuona comment yako at least nikafarijika kuwa nipo sehemu sahihi (Jamii intelligence). Nimefurahi sana kwa challenge yako mkuu yenye mashiko.

Kwanza kabisa conspiracies kuhusu kifo cha Osama hazikuanzishwa na Snowden wala Web za uchochoroni. Mwaka 2010 wikileaks walitoa taarifa zilizovuja kutoka mafaili ya siri ya kijeshi ya Marekani. Ambapo taarifa hizo zilidai kwamba Osama yupo hai na anatumika na CIA kupanga mashambulio ktk vita vya Afghanistan. (Hapa niwe clear kua Osama na CIA ni kitu ki1, kwanini tena Navy SEAL wamuuwe mtu wao 2011?)

Wikileaks Afghanistan: Osama bin Laden alive

Hata kabla ya Snowden ex-CIA na mwandishi wa habari (BBC) wa masuala ya upelelezi Bw. Seymour Hersh ambaye alipata umaarufu baada ya kutoa siri nzito kuhusu mauaji wa My Lai yaliyofanywa na marekani kwa wananchi wa Vietnam, pa1 na kutoa siri kadhaa za operesheni ovu zinafanywa/fadhiliwa na Marekani, 2015 aliibuka na kutoa siri kuhusu utata wa kifo cha Osama, habari hizi zilisambaa kila sehemu CNN, BBC, Telegram, Daily Mail hata Wikileaks. Hakuna aliyejibu kutoka mamlaka ya juu ya usalama wa Taifa.

Pia watu mashuhuri Marekani wakiwemo G. W. Bush na D. Trump katika nyakati tofauti hawakubaliani kabisa na suala la kwamba Marekani (Obama) ilimuuwa Osama.

Sasa tuje kwa Snowden:
Utakubaliana nami kwamba tangu Snowden aresign Dell hajawahi kuonana popote pale, amekua akijificha kuepa kuangukia mikononi mwa sheria ya Marekani. Akiwa na interview inafanyika mafichoni kwa siri kubwa kiasi kwamba hata journalist na crew yake hawawezi kufahamu wapi walipo.

Taarifa za kifo cha Osama alizitoa akiwa kwenye mahojiano ya siri na Gazeti la Moscow Tribune, siku hiyo Snowden aliLike tweet ya Moscow Tribune walipotoa taarifa alizosema Snowden. Keshowe kituo maarufu cha habari cha snopes.com wakaibuka kupinga kashfa hizo kabla hazijasambaa kwenye mitandao. Sasa tujiulize snopes ni kina nani? Hii ni web binafsi ya KIBIASHARA ambayo kazi yake ni kuvumisha tetesi na kuuwa tetesi. Kwa muda mrefu wamekuwa wakitumika kisiasa (hasa na serikali ya Obama) kubadili upepo wa taarifa mtandaoni, hapa napo nahisi walinunuliwa kufifisha habari hizi. Lakini vyombo vya habari vya Uarabuni na baidhi ya vyombo vya uingereza vilireport taarifa hizo. Na pia kituo cha habari cha Guardian ambao ndio walikua wa kwanza kuLeak mafaili ya siri ya NSA walireport taarifa za snowden https://www.theguardian.com/world/s...-laden-killing-conspiracy-theory-coverup-lies

Jambo lingine la kujiuliza sana ni kivipi Snowden alithibitisha kupitia verified twitter a/c yake kua alitoa mafaili ya siri kwa journalist wa Guardian kati ya document 9,000-10,000 lakini jambo la kutufikirisha ni kwamba files zilizokuwa published na Guardian hata na wikileaks hazifiki 1,000 (documents zingine zi'wapi?), kwanini nisiamini kua Serikali ya Obama imetumia nguvu + pesa kufifisha taarifa za Snowden?
 
Huo mshahara wa milion420 kwa mwezi kwa bara langu la afrika nadiriki kusema hakuna muafrika na hatatokea anaelipwa pesa iyo milele
AFRICA BADO VILAZA SANA
 
ze-dudu nikurekebishe tu kidogo kaka, japo ni nje ya mada. Mwanzoni mwa mwezi Nov nilikuwa Mauritius ambapo nilialikwa kwenye mkutano wa ALN annual conference. Nilikutana na jamaa yangu mmoja ambae ni co-founder wa ALA, ALU na ALN anaitwa Acha Leke, ni mCameroon, pia ni Regional Director wa McKinsey Africa, jamaa anakula mshahara kwa mwezi $700 k yani (1.5 bil+ Tsh). Ni mshkaji tena mdogo tu kiumri.

Pia kuna huyu CEO wa AfDB, Adesiga kama sikosei jina, ni kijana tu mdg, mshahara wake kwakweli si wa mchezo mchezo mkuu.
 
Mkuu The bold

Kiukweli nilikua nashangaa sana uzi unafika karibu comment ya 150 hakuna mtu yoyote aliyetoka nje ya box na kuhoji kwa undani kuhusu swala hili kwa facts zilizoshiba, pia nilitegemea kutokea wanaJF wachache ambao wangepingana nami kwa hoja, lkn hawakutokea, baada ya kuona comment yako at least nikafarijika kuwa nipo sehemu sahihi (Jamii intelligence). Nimefurahi sana kwa challenge yako mkuu yenye mashiko.

Kwanza kabisa conspiracies kuhusu kifo cha Osama hazikuanzishwa na Snowden wala Web za uchochoroni. Mwaka 2010 wikileaks walitoa taarifa zilizovuja kutoka mafaili ya siri ya kijeshi ya Marekani. Ambapo taarifa hizo zilidai kwamba Osama yupo hai na anatumika na CIA kupanga mashambulio ktk vita vya Afghanistan. (Hapa niwe clear kua Osama na CIA ni kitu ki1, kwanini tena Navy SEAL wamuuwe mtu wao 2011?)

Wikileaks Afghanistan: Osama bin Laden alive

Hata kabla ya Snowden ex-CIA na mwandishi wa habari (BBC) wa masuala ya upelelezi Bw. Seymour Hersh ambaye alipata umaarufu baada ya kutoa siri nzito kuhusu mauaji wa My Lai yaliyofanywa na marekani kwa wananchi wa Vietnam, pa1 na kutoa siri kadhaa za operesheni ovu zinafanywa/fadhiliwa na Marekani, 2015 aliibuka na kutoa siri kuhusu utata wa kifo cha Osama, habari hizi zilisambaa kila sehemu CNN, BBC, Telegram, Daily Mail hata Wikileaks. Hakuna aliyejibu kutoka mamlaka ya juu ya usalama wa Taifa.

Pia watu mashuhuri Marekani wakiwemo G. W. Bush na D. Trump katika nyakati tofauti hawakubaliani kabisa na suala la kwamba Marekani (Obama) ilimuuwa Osama.

Sasa tuje kwa Snowden:
Utakubaliana nami kwamba tangu Snowden aresign Dell hajawahi kuonana popote pale, amekua akijificha kuepa kuangukia mikononi mwa sheria ya Marekani. Akiwa na interview inafanyika mafichoni kwa siri kubwa kiasi kwamba hata journalist na crew yake hawawezi kufahamu wapi walipo.

Taarifa za kifo cha Osama alizitoa akiwa kwenye mahojiano ya siri na Gazeti la Moscow Tribune, siku hiyo Snowden aliLike tweet ya Moscow Tribune walipotoa taarifa alizosema Snowden. Keshowe kituo maarufu cha habari cha snopes.com wakaibuka kupinga kashfa hizo kabla hazijasambaa kwenye mitandao. Sasa tujiulize snopes ni kina nani? Hii ni web binafsi ya KIBIASHARA ambayo kazi yake ni kuvumisha tetesi na kuuwa tetesi. Kwa muda mrefu wamekuwa wakitumika kisiasa (hasa na serikali ya Obama) kubadili upepo wa taarifa mtandaoni, hapa napo nahisi walinunuliwa kufifisha habari hizi. Lakini vyombo vya habari vya Uarabuni na baidhi ya vyombo vya uingereza vilireport taarifa hizo. Na pia kituo cha habari cha Guardian ambao ndio walikua wa kwanza kuLeak mafaili ya siri ya NSA walireport taarifa za snowden

Mkuu,
Nashukuru kwanza kwa kuichukulia positively comment yangu.. Maana nilikuwa sitaki upate hisia kuwa nimekuja "kukupinga".. Thank you for that

Niendelee..
Bado hujanijibu swali langu au kuondoa sintofahamu yangu..

1. Mkuu, sijasema kwamba Snowden ndio ameanzisha conspiracy theories kuhusu Osama kuwa hai, hoja yangu ni hii: HAJAWAHI KUTAMKA OSAMA YUKO HAI.

2. Umeweka link ya Wikileaks ya mwaka 2010. Kumbuka Oparesheni ya kuuwawa Osama imefanyika 2011.. Kwahiyo hiyo link ni irrelevant.
Pia Nadhani hujanielewa.. Ninachokueleza ni kwamba Wikileaks hakuna nyaraka zozote zinazosema "Snowden amesema Osama yuko hai". Hakuna hizo nyaraka kwenye mtandao wa Wikileaks..

3. Umeweka hapo video ya Bush na Trump wakisema Obama hajamuua Osama.
Kwanza sitaki tuongelee kama Osama yuko hai au Amekufa, nataka tumalizane na hili la Snowden kisha tuhamie huko..
Pili, hata hivyo inaonekana hujamuelewa Trump anachosema, Trump hasemi kuwa "Osama hajauwawa".. Anachopinga yeye ni kwamba Obama anapewa credit nyingi kwa mission ile badala ya Wanajeshi. So simply anachomaanisha ni kwamba "Obama hajamuua Osama, waliyemuua ni Navy Seals".

4. Yes interview za Snowden zinarekodiwa kwa siri but baada ya hapo zinawekwa Public.. Interview zote alizozifanya Snowden ziko Public! Kwanini hiyo ya kusema Osama yuko hai haipo.. Tena uzuri umesema hiyo interview kafanya na warusi na Nina hakika Warusi wasingesubiri hata sekunde kuiweka hadharani Dunia ione ili Wamarekani waadhirike.. Iko wapi hiyo interview?? Kwanini yamekuwa maneno tupu???

5. Hivi Mkuu unadhani ni sahihi kumlisha Snowden maneno mazito kiasi hicho kisa amelike post kwenye Twitter?? Hahaha, really?? C'mon.. Snowden ametoa siri nyingi nzito zilitotikisa ulimwengu wa intelijensia.. Kama hili lina ukweli asingesita kulisema!! Lakini ninachokiona mpaka sasa ni kumlisha maneno tu..

6. Umesema alitamka hilo alipofanya mahojiano na Russia Tribune. Naomba uniwekee link ya hayo mahojiano tukayasome.. Russia Tribune wana tovuti yao kwahiyo kama hiki unachokisema ni kweli basi hiyo article itakuwepo.. Naomba uweke link ya hayo mahojiano Snowden akisema Osama yuko Hai analipwa na marekani na ni Operative wa CIA.
(Najua huwezi kuweka hiyo link kwasababu hayo mahojiano hayajawahi kutokea)

Naomba tumalizane kwanza na hili Snowden alafu tuhamie kwenye hizo theory kwamba Osama yuko hai au walimuua.
 
Mkuu The bold,

Nashukuru kwa prompt reply, na kuraise maswali fikirishi.

Kwanza kabisa niendelee kusimamia msimamo wangu na wa Snowden kuwa Osama yu'hai na kama kweli alifariki basi si kwa kuuwawa na Marekani/Obama.

1. Nashukuru kwenye reply yako ulikubaliana nami kua snopes ndio walihusika kufubaisha madai ya snowden na kifo cha Osama coz hakuna popote ulipiraise concern yako kuhusu snopes. Bado niendelee kuamini kuwa Snowden alitamka wazi kuwa osama yupo hai na anakula bata Bahamas. Video hii ambayo sina uhakika sana kama ni BBC lkn naweza kuona nembo ya BBC

2. Concern yangu kuhusu Wikileaks nahisi hukunielewa, ngoja niseme hivi, mwaka 2010 wikileaks walidai kuwa Osama yupo hai na anatumika na Marekani/CIA katika kupanga mashambilizi ya Afghanistan, kama ni hivyo basi inawezekanaje mwaka mmoja baadae, I mean 2011 CIA hao hao wamuuwe mtu wao (je inawezekanaje kua hawajatupiga kanzu?)

3. Umeuliza kwanini warusi hawajasambaza taarifa za Snowden kuhusu kifo cha Osama... naomba nijibu critically lkn pia naomba nisionekane too much theoretical. Naamini Snopes.com walivyoingilia hili suala siku 1 baada ya interview, ndipo upepo wote ulibadilika hasa katika kurepotiwa habari hii na vyanzo vinavyotumia lugha ya kingereza, lakini baada ya kuona watu kama Aljazeera wamereport basi napata imani kuwa taarifa hizi zimezagaa sana katika lugha ya Kirusi.

4. Kuhusu Snowden kulike post Twitter... naamini utakubaliana nami hadi kufikia hapa alipofika Snowden yupo on watch kwa kila anachokufanya, na yupo responsible kwa content yoyote atakayotoa iwe hoax ama genuine content, kwa maana hiyo Snowden si mpuuzi kulike tweet ya Moscow tribune akifahamu kuwa ni porojo.

5. Umeomba niweke link... mpaka hapa umesema taarifa za Snowden-Osama zilizo kwenye Web ni fake sidhani kama kuna link yoyote nitakayoweka utalubaliana nayo. Lakini pia niendeleze concern yangu ya awali kwamba kama Snowden hadi sasa ameshavujisha mafile 9000-10000, mbona mengi yaliyosensitive hayapo mtandaoni? yaliyopo ni yale ya ovyo ovyo. Nikuchallenge, je unaweza kunipa documents Snowden aliposema NSA inawatarget maraisi wa Mexico na Brazil, liko wapi file aliyodai kuwa Marekani inadukua taarifa za makansela wa Ujerumani tangu 2002?
 
Huu uzi ni kiboko mno kwa watu tunaopenda hii makitu.Hii ya Osama nayo kiboko ...inamaana Osama ni CIA?je walimtraini kuwa terrorist ili wawajue vizuri washirika wake na kuwaangamiza au.....ndio wanaita asset hiyo daah kwahiyo kamaliza kazi sasa anakula pension Marekani dah ni ngumu kumeza hii.
Inawezekana akawa undercover mkuu
 
Snowden uhai wake kaweka rehani na Inawezekana Russia wakamtumia na wakamtupa kama taka taka
 
Trump na Vladmir Putin ni marafiki, Hapo Trump hawezi kuja kumuomba Putin amrudishe nyumbani Snownden?
Na Inawezekana Snowden(mtaalamu wa IT) katumika kwenye saga mpya la uchakachuaji wa kura kule marekani ambalo zigo la lawama limewaangukia urusi
 
nikazie shaka yangu kuhusu @GERAMINO:namna ulinzi wa Osama ulivyokua dhaifu kwangu mimi napata kigugumizi,kumzika baharini bila kumhoji kabla hajauawa,nakubaliana na mtoa thread kwamba kwa mujibu wa Snowden yawezekana Osama bado analipwa na USA,Ikumbukwe Osama alikua ajenti wa CIA na mafunzo yote waligharamia kwa malengo hasa kwenye mgogoro wa Iran na Iraq miaka ya 1980`s,ukichunguza kwa undani hata ugaidi CIA wamefanya ni kauli mbiu ya kulinda maslahi yao na zaidi kuhodhi mali mataifa wanayoyalenga,uchonganishi kama kule libya wamejibebea mafuta na madini huku damu za walibya zikimwagika wao wamevuna walichotaka
Na vile vile osama ndio alitumika na wamarekani katika kisambaratisha umoja wa soviet kama sikosei ndio baada yakusambaratika ndio vimetokea vinchi Kazakhstan, Serbia etc
 
Mkuu The bold

Kiukweli nilikua nashangaa sana uzi unafika karibu comment ya 150 hakuna mtu yoyote aliyetoka nje ya box na kuhoji kwa undani kuhusu swala hili kwa facts zilizoshiba, pia nilitegemea kutokea wanaJF wachache ambao wangepingana nami kwa hoja, lkn hawakutokea, baada ya kuona comment yako at least nikafarijika kuwa nipo sehemu sahihi (Jamii intelligence). Nimefurahi sana kwa challenge yako mkuu yenye mashiko.

Kwanza kabisa conspiracies kuhusu kifo cha Osama hazikuanzishwa na Snowden wala Web za uchochoroni. Mwaka 2010 wikileaks walitoa taarifa zilizovuja kutoka mafaili ya siri ya kijeshi ya Marekani. Ambapo taarifa hizo zilidai kwamba Osama yupo hai na anatumika na CIA kupanga mashambulio ktk vita vya Afghanistan. (Hapa niwe clear kua Osama na CIA ni kitu ki1, kwanini tena Navy SEAL wamuuwe mtu wao 2011?)

Wikileaks Afghanistan: Osama bin Laden alive

Hata kabla ya Snowden ex-CIA na mwandishi wa habari (BBC) wa masuala ya upelelezi Bw. Seymour Hersh ambaye alipata umaarufu baada ya kutoa siri nzito kuhusu mauaji wa My Lai yaliyofanywa na marekani kwa wananchi wa Vietnam, pa1 na kutoa siri kadhaa za operesheni ovu zinafanywa/fadhiliwa na Marekani, 2015 aliibuka na kutoa siri kuhusu utata wa kifo cha Osama, habari hizi zilisambaa kila sehemu CNN, BBC, Telegram, Daily Mail hata Wikileaks. Hakuna aliyejibu kutoka mamlaka ya juu ya usalama wa Taifa.

Pia watu mashuhuri Marekani wakiwemo G. W. Bush na D. Trump katika nyakati tofauti hawakubaliani kabisa na suala la kwamba Marekani (Obama) ilimuuwa Osama.

Sasa tuje kwa Snowden:
Utakubaliana nami kwamba tangu Snowden aresign Dell hajawahi kuonana popote pale, amekua akijificha kuepa kuangukia mikononi mwa sheria ya Marekani. Akiwa na interview inafanyika mafichoni kwa siri kubwa kiasi kwamba hata journalist na crew yake hawawezi kufahamu wapi walipo.

Taarifa za kifo cha Osama alizitoa akiwa kwenye mahojiano ya siri na Gazeti la Moscow Tribune, siku hiyo Snowden aliLike tweet ya Moscow Tribune walipotoa taarifa alizosema Snowden. Keshowe kituo maarufu cha habari cha snopes.com wakaibuka kupinga kashfa hizo kabla hazijasambaa kwenye mitandao. Sasa tujiulize snopes ni kina nani? Hii ni web binafsi ya KIBIASHARA ambayo kazi yake ni kuvumisha tetesi na kuuwa tetesi. Kwa muda mrefu wamekuwa wakitumika kisiasa (hasa na serikali ya Obama) kubadili upepo wa taarifa mtandaoni, hapa napo nahisi walinunuliwa kufifisha habari hizi. Lakini vyombo vya habari vya Uarabuni na baidhi ya vyombo vya uingereza vilireport taarifa hizo. Na pia kituo cha habari cha Guardian ambao ndio walikua wa kwanza kuLeak mafaili ya siri ya NSA walireport taarifa za snowden https://www.theguardian.com/world/s...-laden-killing-conspiracy-theory-coverup-lies

Jambo lingine la kujiuliza sana ni kivipi Snowden alithibitisha kupitia verified twitter a/c yake kua alitoa mafaili ya siri kwa journalist wa Guardian kati ya document 9,000-10,000 lakini jambo la kutufikirisha ni kwamba files zilizokuwa published na Guardian hata na wikileaks hazifiki 1,000 (documents zingine zi'wapi?), kwanini nisiamini kua Serikali ya Obama imetumia nguvu + pesa kufifisha taarifa za Snowden?

Kwa hoja hii nakubaliana na wewe kwa asilimia zote
 
Kwanza jamaa OSAMA akinyoa yale madevu nankuacha tumustashi twa kihindi mbona sura tuna mpotea kabisa..waweza kuta anakula bata palepale marekani
 
Back
Top Bottom