Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Mkuu ONTARIO,
Shukrani za dhati kabisa kwa makala nzuri ya kufikirisha. Nimeona makala zako mbili mwanana kabisa.. Nimepata fursa ya kuisoma hii kwa makini na naahidi kusomana ile nyingine baadae..
Nashukuru kwa kunitag,
Naomba nami nitoe mchango wangu wa mawazo si kwa kupingana nawe, la hasha bali kwa nia ya kujadili.. Najihami mapema maana mawazo yangu juu ya hili yako tofauti.
Kabla ya yote kabisa, niseme hivi:
Snowden hajawahi kutamka kuwa Osama yuko hai.!! Nasisitiza HAJAWAHI KUTAMKA kuwa Osama yuko hai..
Nitafafanua..
Binafsi habari hii nilisikia kwa mara ya kwanza mwezi August.. Kwamba "snowden amefichua siri kuwa Osama yu hai.."
Nikashangaa kwanini sijaisikia hii habari mapema (nafuatilia sana habari za intelijensia, uhalifu na zinazofanana na hizo).
Kwahiyo, nikaanza kuitafuta hii habari katika vyombo vya habari (vya nje)! Guess what? Hakuna..
Kwenye websites? Hakuna..
Nikashangaa inawezekanaje habari kama hii isiandikwe na vyombo vyovyote vya habari??? Hata kwenye websites??
Habari zote kuhusu mambo yote aliyofichua Snowden zipo, lakini hii ya kwamba amesema Osama yuko hai haipo..
Nikaingia YouTube (mahojiano yote ya snowden yapo YouTube)
Jambo la ajabu hakuna mahojiano yoyote yanayo muonyesha Snowden kutamka ati Osama yu hai..
Huko nyuma niliwahi kuzipitia documents alizovujisha snowden kwenye mtandao wa Wikileaks lakini sikuwahi kuona hicho kitu but kwa kujiridhisha nikaenda tena Wikileaks kusoma tena documents za Snowden..!! NOTHING kuhusu Osama kuwa hai (unaweza kwenda kucheki)
Hapa nikaanza kuhisi hii kitu ni 'tantarira'.. Nikaenda kugoogle nione ni watu gani wameiandika.. Nikakuta ni viwebsite vidogo vidogo vile vya kukopiana na kupaste.. Na hii habari jinsi walivyoiandika ina fanana kabisa kwenye viwebsite hivyo vyote, so nikaelewa that means wameikopi kutoka mahali Fulani..
Kwahiyo nilichofanya nikaanza 'kubacktrack' nipate source ya walipo itoa..
La haula.!! Hahahaha, gues what.. Unajua imetoka wapi???????
World News Daily Report
Kwa wasiofahamu hii website mtashangaa kwanini nimecheka!
WorldNewsDailyReport.com ni "fake news" website. Vitu wanavyoweka kwenye website yao ni "hoaxes"..
Let me make it easier for you...
Disclaimer yao inasoma hivi:
WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of its content....
Do you see that???
Najua watakuwepo wanaopingana nami so I challenge them, kama hatukubaliani naomba nipewe source hii habari imetolewa wapi?? Kwamba "snowden kasema Osama yu hai" where did you guys get this from??
Snowden kavujisha siri nyingi (za kweli), lakini hili tunampaka matope awe muongo coz hajawahi kulisema.. Kama amewahi tuweke Video clip, Link ya website (credible website sio za vichochoroni), news article, etc..
Kwahiyo..
Kama tunajadili kuhusu Osama kuwa hai au amekufa, kwanza kabisa tumuondoe Snowden kwenye equation kwasababu HAJAWAHI KUSEMA hicho kitu.. Kwasababu hii hoja ya Osama kuwa hai na kufichwa au kuwa ni Oparative wa CIA inatiliwa uzito kwa kuweka jina la Snowden.. Sasa tuanzie hapo kwanza!!
Tukisha liclear hili nami nitatoa hoja zangu kuhusu kufa/kuwa hai kwa Osama..
Muhimu: Nasisitiza lengo langu sio kumpinga mtoa uzi bali ni kujadili..
The Bold.
Cc: ONTARIO, STUNTER, Nifah, mamaafacebook II, peterchoka, Ruttashobolwa, kbosho