Huko kutafakari kwako utafakari ukiwa nje ya box......Hapa sio story za cijiweni kwa taarifa yako mm huwa sikai vijiwen ila ninatabia ya kutafakar jambo kwa mapana bila kuaminishwa na mwingine wamarekan hawajanyooka kama uwafikiriavyo ni watu hatar sana na ndio maana mrusi anajaribu kuwaboboa ingawa si rahisi
Mkuu ONTARIO,
Wewe ni mtu makini sana kwahiyo naomba kabla hujaweka link au video hebu jiridhishe nayo.
Unasemaje mkuu??
Leo amerika analalamika nn kuwa urusi ameingilia uchaguziHuko kutafakari kwako utafakari ukiwa nje ya box......
Kati ya USA na Russia nani anaebomolewa?
USA kabakiza Syira Na Iran tu hapo mashariki ya kati huko kwingine kote Mrusi kafurushwa Sasa watu wako Ukraine Na Georgia ktk muktadha huu nani anabomolewa?
Fanyeni tafakuri za maana Na si za kujifariji.
Analalamika America au huyo mama Clinton? Ivi kwa ufahamu wako Russia ina weza kuingilia uchaguzi Wa USA Na kuwaamulia RAIA Wa USA ktk swala la urais? Duh hii Kali aisee.Leo amerika analalamika nn kuwa urusi ameingilia uchaguzi
Hebu mkuu Ata km unataka kujadiliana Na The bold juu ya hilo hebu elezea ni kwasababu gani Osama hakuuwawa Na Navy Seal team 6?Mkuu The bold
Nashukuru kwa Challenge uliyonipa, nimejaribu sana kuzama chaka ili kupata chochote kuhusu MoscowTribune-Snowden lakini sikuweza kupata hata web yao (yawezekana labda web yao ina contents za Kirusi hivyo ninavyosearch kwa kingereza sipati chochote) coz naona baadhi ya tweets zao kipo kwa Kirusi. Naomba unipe muda baadae kidogo nikitulia nitatumia online translator kutafuta zaidi kwa lugha ya Kirusi.
Msimamo wangu kwa akili tu ya kufikirika na uthibitisho tulionao (tukiacha Snowden saga pembeni) nasema Osama hakuuwawa na Navy SEAL unit 6. Osama yu'hai na kama alifariki basi Marekani haiusiki.
Unaonaje tukiendelea kwamba Osama yu'hai? Nianze?
Mkuu The bold
Nashukuru kwa Challenge uliyonipa, nimejaribu sana kuzama chaka ili kupata chochote kuhusu MoscowTribune-Snowden lakini sikuweza kupata hata web yao (yawezekana labda web yao ina contents za Kirusi hivyo ninavyosearch kwa kingereza sipati chochote) coz naona baadhi ya tweets zao kipo kwa Kirusi. Naomba unipe muda baadae kidogo nikitulia nitatumia online translator kutafuta zaidi kwa lugha ya Kirusi.
Msimamo wangu kwa akili tu ya kufikirika na uthibitisho tulionao (tukiacha Snowden saga pembeni) nasema Osama hakuuwawa na Navy SEAL unit 6. Osama yu'hai na kama alifariki basi Marekani haiusiki.
Unaonaje tukiendelea kwamba Osama yu'hai? Nianze?
Ivi yale maandamana makubwa huko Pakistan kuilamu serikali yao Na kutaka Rais Wa Pakistan Na viongozi Wa vyombo vya usalama wajiuzuru baada ya kushindwa kugundua au kuwazuia waamerca kuingia ndani ya Pakistan Na kumuuwa Osama haya nayo yalikua yametengenezwa lkn Osama hakufa siku hiyo?Mkuu The bold
Nashukuru kwa Challenge uliyonipa, nimejaribu sana kuzama chaka ili kupata chochote kuhusu MoscowTribune-Snowden lakini sikuweza kupata hata web yao (yawezekana labda web yao ina contents za Kirusi hivyo ninavyosearch kwa kingereza sipati chochote) coz naona baadhi ya tweets zao kipo kwa Kirusi. Naomba unipe muda baadae kidogo nikitulia nitatumia online translator kutafuta zaidi kwa lugha ya Kirusi.
Msimamo wangu kwa akili tu ya kufikirika na uthibitisho tulionao (tukiacha Snowden saga pembeni) nasema Osama hakuuwawa na Navy SEAL unit 6. Osama yu'hai na kama alifariki basi Marekani haiusiki.
Unaonaje tukiendelea kwamba Osama yu'hai? Nianze?
Ewaaaa.!! Hapa sasa tunaanza kwenda sawia..
Kilala kheri kwenye utafutaji wa hayo mahojiano but hauwezi kupata hiyo kitu haijalishi unatafuta kwa kirusi au lugha nyingine.. Nakuhakikishia hakuna hayo mahojiano!!
Itoshe tu kusema, tumuondoe Snowden kwenye mjadala..
Sasa tunaweza kuanza kujadili kuhusu kuwepo hai au kutokuwepo hai kwa Osama!
Unaweza kuanza mkuu!
Mkuu The bold twende pole pole
May 2 2011 ndipo Navy SEAL team 6 ilifanya shambulio ambalo wewe na Obama mnaamini lilimtoa duniani Osama. Miezi mitatu baadae yani Aug 6 2011 ndege ya kivita ya Marekani ilitunguliwa kwa teknolojia ya juu sama Afghanistan, takribani watu 38 walifariki katika ajali hiyo, mbaya zaidi wapiganaji 25 wa Navy SEAL team 6 walikuwamo kwenye ndege hiyo, 20 ya hao walishiriki kwenye shambilio ya Neptune spear, mwezi uliofuata Navy SEAL team 6 wawili walifariki wakiwa kwenye mafunzo ya kurusha parashuti.
Raisi Obama akitoa hotuba ya mazishi alikimbikia kusema waasi wa Taliban ndio walilenga ndege hiyo, lakini Raisi wa Afghan ndugu Karzai akituma salamu za rambi rambi kwa Obama alisema ndege hiyo ilicrush.
Kwa mantiki hiyo wote 22 waliohusika kumuuwa Osama waliuwawa. Binafsi naamini Marekani/CIA waliona watu hawa wanaweza kuwa tishio kama wakiamua kuanika ukweli juu ya walichokifanya huko Abboltabad. Hivyo waliuwawa na CIA wenyewe ili zisije zikatoka taarifa negative kuhusu shambulizi ya Neptune spear.
Nikuulize wewe, je ni nani aliwauwa hawa jamaa wote? Kwanini waliuwawa?
AKILI YAKO KAMA MAZIWA YA MGANDOmuachie the bold ndo mbobezi wa hiz makala
Mwambie akutumie pm huko hapa usituletee matabaka yako na ushamba wakomuachie the bold ndo mbobezi wa hiz makala
TrueKifo cha bin Laden si serekali ya marekani kwa maana ya mashirika ya ujasusi na usalama ama huyu snowden wanazungumza ukweli. Inaweza ikawa ni kweli aliuliwa na c.i.a. lakini wao walitakiwa waionyeshe dunia ushahidi wa picha ya maiti ya Osama.
Snowden naye kwa kuwa alishaamua kuiharibia serekali ya marekani naye alete ushahidi kuthibitisha osama yu hai. Vinginevyo kwa wote wawili inabaki kuwa cospirancy theory.
Mkuu umeandika vizuri na umeeleweka .
Pamoja
Asante kwa tag asante kwa elimu.moolizy savius Nchi Kavu famicho Complex Ziroseventytwo @barbarasa wambura marwa mwajex kisu cha ngariba mkorinto Magazine Fire Mussolin5 DIVINE The bold The Boss Coolant STUNTER MO11 Ficus Bavaria amygdala kayaman KENZY Katavi Mkushi wa kusi MANCNOO ze-dudu Leonard Robert havanna mtimkav troublemaker gwankaja Chizi Maarifa vitangaye Ls man Ng'wanapagi BAFA
Hoja nzuri sana mkuu,
Nianzie mbali kidogo ili unielewa sawa sawa..
Kwanza, unatakiwa ufahamu kuwa kikosi maalumu cha Navy SEALs Team 6 kina wanajeshi si chini ya 1,500.
Sasa, katika operation ya Neptune Spear Navy Seals ambao walihusika ilibidi wawe transferred kwa muda kuwa chini ya CIA.
Why?? Kwasababu Jeshi ambalo kimsingi liko chini ya Wizara ya Ulinzi (DOD) halina ruhusa kikatiba kufanya "covert" operation.. Naamini unanielewa nikisema covert operation!
But CIA ni "civilian agency" sio "military agency" kwahiyo wao kikatiba wanaruhusiwa kufanya covert operation.. (US National Security Act 1947)
Kwahiyo Navy Seals wote walihusika na operation Neptune Spear walihamishiwa chini ya CIA kama maafisa wa CIA.. Ndio maana hata maandalizi (planning and training) walifanyia Langley, kwenye majengo ya CIA.
Sasa kwenye mission kama hizi ndani ya CIA huwa zinasimamiwa na kitengo maalumu kinaitwa SAG. Hiki kitengo oparatives wake wote majina yao yanakuwa classified.. Kwahiyo wale Navy Seal walioletwa CIA majina yao yote ni siri!
Now, baada ya Operation Neptune Spear kukamilika.. Wale Navy seals wote waliohusika hawakuwa tena kwenye "Active duty".. Ingawa hii ni cover tu kwenye macho ya public but kiuhalisia wanaendelea kuwa operatives wa CIA katika kitengo cha SAG..
Hao Navy Seals unaosema walidunguliwa kwenye chopa mwezi august 2011 na wengine walikufa kwa ajali ya parashuti! Hao sio wale waliohusika kwenye oparetion Neptune Spear.. Sio kisa ukisikia Navy Seals Team 6 basi ujue ndio hao hao kila siku (kumbuka nimekwambia wako 1,500).
Makomandoo waliomuua Osama wawili kati yao wameacha kazi na wamejitokeza hadharani.. Mmoja anaitwa Rob O'Neil ambaye inadaiwa ndiye aliyepiga risasi ya kumtoa roho Osama na mwenzake mwingine jina limenitoka kidogo lakini amendika kitabu kinaitwa 'No Easy Day'.. Kuelezea maisha yake Ndani ya Navy Seals na Operation Neptune Spear..
Na hawa wote wako hai mpaka leo.
Hiyo nadharia kwamba Navy Seals Team 6 walioshiriki Operation Neptune Spear kwamba serikali ya marekani imewaua kuficha ukweli, hiyo nadharia si ya kweli na haina mashiko wala ushahidi wowote.. Ni conspiracy theory zinazozuka kila uchwao
Nimependa ulivyomjibuNi kweli lakini yeye hutoa story za upande mmoja na huyu analeta za upande wa pili
Ukiitwa mchawi utasema umeonewa,kama hutaki lazma uje huku acha ufala bwana usituchefue tunaopenda kukifunzamuachie the bold ndo mbobezi wa hiz makala
Mkuu The bold
Nashukuru sana kwa majibu yako murua kabisa, kiukweli nilitegemea kabisa kupata response ya namna hiyo kutoka kwako 🙂
Naomba twende polepole mkuu,
Nakubaliana na maelezo yote uliyotoa hapo juu (kuna elimu umeniongezea na pia kunipa homework ya kusoma nini katiba ya marekani inazungumza kuhusu masuala ya ulinzi). Nami naamini utakubaliana nami kuwa SEAL team 6 is the most secretive military unit katika historia ya Marekani. Tangu mwaka 1981 wamefanya operations nyingi za kibabe, lakini hakuna hata chembe robo ya siri iliyowahi kuvuja kutoka kwao.
Sasa tujiulize baada ya baadhi SEAL team 6 kuuwawa, ndipo wakaibuka watu 2 akiwemo huyo O'Neil wakavujisha siri za ndani za SEAL team 6 kuhusu oparetion Neptune, hadi kufika hatua ya kupublish kitabu na kutuaminisha kuwa yeye ndiye shooter aliyemuuwa Osama.
■Je kwanini O'Neil aliibuka baada ya mauaji ya members kadhaa wa SEAL team 6? Why not earlier before the massacre?
■Je kwanini SEAL team 6 hawakumchukulia sheria O'Neil kwa kosa la kuvujisha siri (uhaini)?
■Kwanini SEAL team 6 iliruhusu kitabu chake kiwe published na kisambazwe mitaani?
Binafsi naamini kina O'Neil ni watu tofauti kbs waliotumika kucover up saga nzima ya kuuwawa kwa team iliyohusika kumuuwa Osama (fake), walitumika mahususi kuiaminisha dunia kuwa kama shooter yupo hai basi members wengine wapo hai, na kwamba waluouwawa Afghanistan si timu iliyomuuwa Osama. (Nakataa kuwa O'Neil ni m1 ya walioshiriki ktk operation Neptune spear).
Pia nisikilize kwa umakini... kwa mara nyingine utakubaliana nami kua SEAL team 6 is the most secretive military unit in US, hivyo basi hakuna anayejua wale walioshiriki kwenye Osama raid ni kina nani, na pia hakuna anayejua wale waliouwawa kwenye ndege ya kivita ni kina nani. Lakini tukiangalia circumstantial evidence (ushahidi wa kimazingira) tunagundua kuwa waliouwawa ni team ya waliomuuwa Osama. Kivipi sasa?
■ Ni kwanini mission 1 tu iuwe wanajeshi wengi zaidi ya wanajeshi wote waliowahi kuuwawa kwenye historia ya SEAL team 6? (It must have been planned).
■ Kwanini interval ya muda kati wa wanajeshi waliouwawa Afghanistan na wale waliouwawa kwenye mafunzo ya parashuti ni mdogo sana? (It must have been planned).
■ Kama kweli SEAL team 6 walikuwa na oparesheni ya kivita Afghanistan, kwanini baada ya kulipuliwa ile ndege iliyouwa wanajeshi, hawakutuma ndege nyingine yenye wanajeshi wa SEAL team 6? Hapa naamini ile ilikua ni mission ya kuwauwa waliomuuwa Osama fake, la'sivyo basi wangetuma wanajeshi wengine wakamalizie mission waliyokusudia huko Afghanistan.
Tuendelee mkuu The bold