Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Kifo cha Osama nilikua wa kwanza kupinga, tena kwa kutumia common sense tu kwamba kama ameuawa mbona mbona Dunia haikupata kushuhudia maiti ya Osama kama walivyofanya kwa Gaddafi?
Hoja za Snowden kuprove kwamba Osama hajafa zina tally na uhalisia!

Pili Kuna jambo hapa haijakaa Sawa,
Mtoa Mada umesema baada ya Snowden kuona jinsi CIA wakitoa rushwa nyingi kwa maafisa wa benki ya Dunia ndio imekua sababu pekee ya kumwaga Siri za kijeshi, mipango, technology, tactics na baadhi ya operation za Siri za kijeshi za marekani?

Au Kuna sababu nyingine mbali na hiyo?, maana kitendo cha kwenda urusi kutafuta Hifadhi ili amwage Siri za marekani kwa sababu tu aliona CIA wakitoa Hongo naona ni ngumu kumeza!
 
Mwanzo umeeleza vizuri ila Mwishoni huku kwenye Osama umetoa hoja dhaifu sana sana.

Cc [HASHTAG]#The[/HASHTAG] Bold
 
Watu wenye mawazo mgando kama wewe ni watu wa kukemewa sana;hili ni jukwaa huru na Makala yake ni nzuri na inaeleweka.Wewe mwanamme usipende kukatisha watu tamaa kwa ajili ya sifa.[emoji35]
hivi wewe binti upo?
 
Hadi sasa snowden ameshindwa kuleta ushahidi kuwa Osama yu hai...Nilitegemea Snowden angekuwa wa kwanza kuthibitishi ULIMWENGU Osama ni mzima ili kuwaumbua Marekani.

Lakini nimependa hii makala
 
Watu wenye mawazo mgando kama wewe ni watu wa kukemewa sana;hili ni jukwaa huru na Makala yake ni nzuri na inaeleweka.Wewe mwanamme usipende kukatisha watu tamaa kwa ajili ya sifa.[emoji35]
Sio kosa lake huyoo mi wivuuuu
 
Si unaambiwa alitoa document zinazoonyesha malipo yk kutoka kwa CIA mkuu
 
Lol mkuu which is which Sasa?

Ila nachoamini kama marekani wametekeleza shambulizi la kumuuua Osama Basi Kwa kupenda kwao sifa tukio lingewekwa hadharani ukiangalia n alikua gaidi alietafutwa kama hela
 
Nakubaliana na ONTARIO
 
mkuu hili swali ndio hata mimi huwa najiulizaga na kama russia hajamtuma we unadhani akishamaliza kutoa siri watamfanyaje " traitor never leave"
 
Hii inaitwa "creatical thinking"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…