EFF ya Julius Malema imechokwa ghafla dhidi ya uMkhonto we Sizwe ya Zuma, Kulikoni vijana?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kukipumulia kisogoni chama kikongwe cha DA?

Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka.

Unazungumziaje hali hiyo huko South Africa 🐒
 
kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA?

nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives. upinzani lazma kujipanga kwa kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka.

unazungumziaje hali hiyo huko South Africa 🐒
Zuma yupo kwenye mfumo kitambo sn
 
Sera za EFF ziliingia na ubaguzi hivo wasouth wengi waalioiunga mkono wakaamua kuachana nayo, Zuma ni legend na watu walimkubali sana hasa sera zake za uchumi na nafuu ya maisha kipindi chake sawa na leo uhuru agombee tena kenya anapita bila kikwazo
 
Tatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee

Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali watafanya Nini

Wananchi wanamuelewa Zuma kuliko Malema

Malema Kwa Tanzania ni pacha wa Lisu kazi yake kubweka kuvizia serikali imekosea wapi ili abweke

Malema kiongozi wa matukio hakuna mwanasiasa wa maana pale na chama chake ni sawa tu na Chadema hamna kitu
 
kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA?

nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives. upinzani lazma kujipanga kwa kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka.

unazungumziaje hali hiyo huko South Africa 🐒
DA, ni, ya pili bro, inaongozwa na mzungu(akili kubwa), sio, wabaguzi, wa kabila kina marema.

Screenshot_20240530-183745.jpg
Screenshot_20240530-183745.jpg
 
Lakini pale Senegal wale vijana Bassirou D.Faye ambae ni President, na Prime minister wake Ousmane Sonko hawakuako huko na wakatoboa,

kuwako kwenye mfumo inaweza kua sababu kweli, au kisingizio tu 🐒
Kwa Tanzania ni ngumu sn kutoa nje ya mfumo, taasisi hazipo huru zote ni mali ya Rais na CCM, lini umesikia anateua watendaji kama KM/RAS/DED/DAS/IGP/CDF n.k?
 
umekata tamaa completely, kwamba ni ngumu, really?

surely,
kuwe na trusted, united, visionary and vibrant opposition haiwezekani kuchochea mabadiliko kweli?

hiyo hali ya teuzi kama hizo zitabadilika kweli kwa kukata tamaa hivyo, huku upinzani ukiwa umesambaratika, hauaminiani wala kuskizana etc ..?🐒

binafsi yangu natamani kuona Tz ikiwa na vibrant opposition, na kuifanya serikali kuwajibika kweli kweli laa sivyo, kwa mipango mikakati mbadala ikizembea itaanguka madarakani 🐒
 
Tatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee

Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali wataanya Nini...
Watanzania huwa hawafuati mambo ya sera kwenye kuchagua, ila umaarufu wa mtu. Hebu tuambie sera za CCM zimetufikisha wapo,kuanzia uhuru mpaka leo bado tunatembeza bakuli.
 
Tnzania shida sio upinzan bali watz ni vichwa maji wanashabikia chama kuliko utawala wao
umekata tamaa completely, kwamba ni ngumu, really?

surely,
kuwe na trusted, united, visionary and vibrant opposition haiwezekani kuchochea mabadiliko kweli?

hiyo hali ya teuzi kama hizo zitabadilika kweli kwa kukata tamaa hivyo, huku upinzani ukiwa umesambaratika, hauaminiani wala kuskizana etc ..?🐒

binafsi yangu natamani kuona Tz ikiwa na vibrant opposition, na kuifanya serikali kuwajibika kweli kweli laa sivyo, kwa mipango mikakati mbadala ikizembea itaanguka madarakani 🐒
 
umekata tamaa completely, kwamba ni ngumu, really?

surely,
kuwe na trusted, united, visionary and vibrant opposition haiwezekani kuchochea mabadiliko kweli?

hiyo hali ya teuzi kama hizo zitabadilika kweli kwa kukata tamaa hivyo, huku upinzani ukiwa umesambaratika, hauaminiani wala kuskizana etc ..?🐒

binafsi yangu natamani kuona Tz ikiwa na vibrant opposition, na kuifanya serikali kuwajibika kweli kweli laa sivyo, kwa mipango mikakati mbadala ikizembea itaanguka madarakani 🐒
Vibrant wakati mifumo ya kidiasa na kikatiba haitoi nafasi kuwa na bibrant opposition party,CCM haitafanya kosa hilo unless itolewe kwa nguvu ya umma
 
For your information, chunguza vizuri utaona vibrant oppositions huibuka zaidi kwenye brutal regimes 🐒

serikali dhalimu huibuka viongozi mahiri sana wa upinzani, na mara nyingi hutwaa madaraka kwasabb ya akili na muda mwingi hutumia kuwashawishi wanainchi kwa sera na mipango mikakati ya kuwasaidia kimaendeleo, sio kulalamika 🐒
 
Back
Top Bottom