EFF ya Julius Malema imechokwa ghafla dhidi ya uMkhonto we Sizwe ya Zuma, Kulikoni vijana?

EFF ya Julius Malema imechokwa ghafla dhidi ya uMkhonto we Sizwe ya Zuma, Kulikoni vijana?

Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kukipumulia kisogoni chama kikongwe cha DA?

Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka.

Unazungumziaje hali hiyo huko South Africa 🐒
Alijipambanua kusapoti Ushoga!! Nilijua hiyo hatari isingemuacha salama Malema
 
For your information, chunguza vizuri utaona vibrant oppositions huibuka zaidi kwenye brutal regimes 🐒

serikali dhalimu huibuka viongozi mahiri sana wa upinzani, na mara nyingi hutwaa madaraka kwasabb ya akili na muda mwingi hutumia kuwashawishi wanainchi kwa sera na mipango mikakati ya kuwasaidia kimaendeleo, sio kulalamika 🐒
Level ya ufahamu wa wananchi ni muhimu sn
 
Back
Top Bottom