Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
mie nadhani Tatizo moja wapo kubwa ni hilo la kujifanya wew ni bora zaidi ya mwingine, bila sababu yoyote ya maana, au kujipa umuhimu wa kipekee zaidi ya wengine 🐒Tnzania shida sio upinzan bali watz ni vichwa maji wanashabikia chama kuliko utawala wao
kwamba wew ni muerevu, wengine si waerevu, chama chako ni cha maana zaidi kuliko cha wengine, bila kuonyesha au kueleza uerevu, umuhimu na umahiri wa sera za chama chako uko wap 🐒
I think mie nadhani hapo ndiko tumekwama, hatshawishiani kwa hoja za maana na za kumvutia mwananchi azikubali na kuziunga mkono....
hii ya eti,
at first place tu, kwamba waTz ni vichwa maji 🤣