Zuma yupo kwenye mfumo kitambo snkulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA?
nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives. upinzani lazma kujipanga kwa kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka.
unazungumziaje hali hiyo huko South Africa π
DA, ni, ya pili bro, inaongozwa na mzungu(akili kubwa), sio, wabaguzi, wa kabila kina marema.kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA?
nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives. upinzani lazma kujipanga kwa kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka.
unazungumziaje hali hiyo huko South Africa π
Lakini pale Senegal wale vijana Bassirou D.Faye ambae ni President, na Prime minister wake Ousmane Sonko hawakuako huko na wakatoboa,Zuma yupo kwenye mfumo kitambo sn
Kwa Tanzania ni ngumu sn kutoa nje ya mfumo, taasisi hazipo huru zote ni mali ya Rais na CCM, lini umesikia anateua watendaji kama KM/RAS/DED/DAS/IGP/CDF n.k?Lakini pale Senegal wale vijana Bassirou D.Faye ambae ni President, na Prime minister wake Ousmane Sonko hawakuako huko na wakatoboa,
kuwako kwenye mfumo inaweza kua sababu kweli, au kisingizio tu π
Si kuna tawi lenu la ACTTatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee
Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali wataanya Nini...
Mwamba haswa aje atuongoze bongo hatuna mtuSera za EFF ziliingia na ubaguzi hivo wasouth wengi waalioiunga mkono wakaamua kuachana nayo, Zuma ni legend na watu walimkubali sana hasa sera zake za uchumi na nafuu ya maisha kipindi chake sawa na leo uhuru agombee tena kenya anapita bila kikwazo
umekata tamaa completely, kwamba ni ngumu, really?Kwa Tanzania ni ngumu sn kutoa nje ya mfumo, taasisi hazipo huru zote ni mali ya Rais na CCM, lini umesikia anateua watendaji kama KM/RAS/DED/DAS/IGP/CDF n.k?
Watanzania huwa hawafuati mambo ya sera kwenye kuchagua, ila umaarufu wa mtu. Hebu tuambie sera za CCM zimetufikisha wapo,kuanzia uhuru mpaka leo bado tunatembeza bakuli.Tatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee
Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali wataanya Nini...
umekata tamaa completely, kwamba ni ngumu, really?
surely,
kuwe na trusted, united, visionary and vibrant opposition haiwezekani kuchochea mabadiliko kweli?
hiyo hali ya teuzi kama hizo zitabadilika kweli kwa kukata tamaa hivyo, huku upinzani ukiwa umesambaratika, hauaminiani wala kuskizana etc ..?π
binafsi yangu natamani kuona Tz ikiwa na vibrant opposition, na kuifanya serikali kuwajibika kweli kweli laa sivyo, kwa mipango mikakati mbadala ikizembea itaanguka madarakani π
Vibrant wakati mifumo ya kidiasa na kikatiba haitoi nafasi kuwa na bibrant opposition party,CCM haitafanya kosa hilo unless itolewe kwa nguvu ya ummaumekata tamaa completely, kwamba ni ngumu, really?
surely,
kuwe na trusted, united, visionary and vibrant opposition haiwezekani kuchochea mabadiliko kweli?
hiyo hali ya teuzi kama hizo zitabadilika kweli kwa kukata tamaa hivyo, huku upinzani ukiwa umesambaratika, hauaminiani wala kuskizana etc ..?π
binafsi yangu natamani kuona Tz ikiwa na vibrant opposition, na kuifanya serikali kuwajibika kweli kweli laa sivyo, kwa mipango mikakati mbadala ikizembea itaanguka madarakani π
For your information, chunguza vizuri utaona vibrant oppositions huibuka zaidi kwenye brutal regimes πVibrant wakati mifumo ya kidiasa na kikatiba haitoi nafasi kuwa na bibrant opposition party,CCM haitafanya kosa hilo unless itolewe kwa nguvu ya umma