mie nadhani Tatizo moja wapo kubwa ni hilo la kujifanya wew ni bora zaidi ya mwingine, bila sababu yoyote ya maana, au kujipa umuhimu wa kipekee zaidi ya wengine πTnzania shida sio upinzan bali watz ni vichwa maji wanashabikia chama kuliko utawala wao
siasa za mrengo wa kulia, siasa kali za mageuzi nadhani bado nafasi yake ni kidogo sana hususani Africa πAlijua akitukana Israel ataungwa mkono na Muslims kumbe Muslims wanamuona ni Kafiri tu.. ndio ukijiunga na Iblis anakupokea kisha anakuacha peke yako.. sababu ushakuwa wake na ukitaka kuchomoka anakuua
Kampiku DA? in fact DA kaongeza kura kuliko 2019, hao MK wamechukua kura za EFF na ANC. Ni kama ACT tu ilivyochukua kura za CUF lakini sio za CHADEMAKulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA?
Ukiona CHADEMA inatajwa isipohusika ujue imewakamata pabaya wapinzani wao.Tatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee
Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali wataanya Nini
Wananchi wanamuelewa Zuma kuliko Malema
Malema Kwa Tanzania ni pacha wa Lisu kazi yake kubweka kuvizia serikali imekosea wapi ili abweke
Malema kiongozi wa matukio hakuna mwanasiasa wa maana pale na chama chake ni sawa tu na Chadema hamna kitu
Nimeipenda hiiTatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee
Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali wataanya Nini
Wananchi wanamuelewa Zuma kuliko Malema
Malema Kwa Tanzania ni pacha wa Lisu kazi yake kubweka kuvizia serikali imekosea wapi ili abweke
Malema kiongozi wa matukio hakuna mwanasiasa wa maana pale na chama chake ni sawa tu na Chadema hamna kitu
Zuma pia kawapinga wayahudi mbona amezoa kura? Hakuna chama South Africa kina unga mkono ukatili wa Israel.Alijua akitukana Israel ataungwa mkono na Muslims kumbe Muslims wanamuona ni Kafiri tu.. ndio ukijiunga na Iblis anakupokea kisha anakuacha peke yako.. sababu ushakuwa wake na ukitaka kuchomoka anakuua
Don't mention it. You're warmly welcomeππΏπ€πΏπ€πΏππΏthank you for a very latest updates za matokeo ya awali uchaguzi mkuu Africa kusini πͺπ
Umeipenda hiyo wewe kama nani? π‘π‘π‘π‘Nimeipenda hii
Kuna tatizoUmeipenda hiyo wewe kama nani? π‘π‘π‘π‘
NdioKuna tatizo
Mleta mada umechukua matokeo ya sehemu moja ukadhani ndivyo yatakuwa kwa sehemu zote. MK Party ni chama ambacho kipo katika misingi ya Ukabila. Chama ambacho kina wafuasi wengi wa Kizulu. Matokeo katika Jimbo la KwaZulu Natal yanaonesha hicho chama kimezoa kura nyingi. Hilo si jambo la kushangaza hata kidogo, kwani Jimbo hilo wakazi wengi ni Wazulu. Subiri kwanza uone mambo yatakavyokuwa baada ya matokeo toka sehemu zingine za nchi hiyo kuoatikana.Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA?
Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka.
Unazungumziaje hali hiyo huko South Africa π
Nadhani muungwana moja aliweka matokeo yanavyoendelea kutolewa mpaka sasa.Mleta mada umechukua matokeo ya sehemu moja ukadhani ndivyo yatakuwa kwa sehemu zote. MK Party ni chama ambacho kipo katika misingi ya Ukabila. Chama ambacho kina wafuasi wengi wa Kizulu. Matokeo katika Jimbo la KwaZulu Natal yanaonesha hicho chama kimezoa kura nyingi. Hilo si jambo la kushangaza hata kidogo, kwani Jimbo hilo wakazi wengi ni Wazulu. Subiri kwanza uone mambo yatakavyokuwa baada ya matokeo toka sehemu zingine za nchi hiyo kuoatikana.
Baada ya risasi 16 unahisi maneno yanaweza pia?. Damu ya mtu mbaya sanaTatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee
Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali watafanya Nini
Wananchi wanamuelewa Zuma kuliko Malema
Malema Kwa Tanzania ni pacha wa Lisu kazi yake kubweka kuvizia serikali imekosea wapi ili abweke
Malema kiongozi wa matukio hakuna mwanasiasa wa maana pale na chama chake ni sawa tu na Chadema hamna kitu
Muulilize niliyemjibu watu wanazungulizia eff anamshambulia Lisu. Anausika nini?. Kama alishambulia kwa risasi sasa anamshambulia kwa manenokwamba hiyo ndio inasaidia nini π
Hizi zote ni porojo ishu hapo wazulu wameamua kumuunga mkono wazulu wenzaoTatizo la EFF ni sawa na Chadema hawana sera kazi Yao kusubiri matukio ndio waongee
Zuma kaja na sera hahangaiki kukosoa serikali Wala Nini yeye anaongea tu wakishika serikali watafanya Nini
Wananchi wanamuelewa Zuma kuliko Malema
Malema Kwa Tanzania ni pacha wa Lisu kazi yake kubweka kuvizia serikali imekosea wapi ili abweke
Malema kiongozi wa matukio hakuna mwanasiasa wa maana pale na chama chake ni sawa tu na Chadema hamna kitu
kule Maricana SA wafanyikazi wa viwandani nadhani migodini walokua kwenye mgomo waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani na askari, EFF imekua ikitumia hiyo kama hoja lakini nadhani bado wanainchi wanahitaji mipango ya kuwakomboa zaidi ya huruma πMuulilize niliyemjibu watu wanazungulizia eff anamshambulia Lisu. Anausika nini?. Kama alishambulia kwa risasi sasa anamshambulia kwa maneno
Upo sahihi lakini je Malema alishawahi kushambuliwa na risasi na kashaendesha maandamano na kushambulia wageni kwa maneno makali.kule Maricana SA wafanyikazi wa viwandani nadhani migodini walokua kwenye mgomo waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani na askari, EFF imekua ikitumia hiyo kama hoja lakini nadhani bado wanainchi wanahitaji mipango ya kuwakomboa zaidi ya huruma π
huenda anaasociate na hali inavyokwenda kwa miongoni mwa wapinzani nchini π