For your information, chunguza vizuri utaona vibrant oppositions huibuka zaidi kwenye brutal regimes π
serikali dhalimu huibuka viongozi mahiri sana wa upinzani, na mara nyingi hutwaa madaraka kwasabb ya akili na muda mwingi hutumia kuwashawishi wanainchi kwa sera na mipango mikakati ya kuwasaidia kimaendeleo, sio kulalamika π