Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi kuwa Yanga, sijui Priva amechukuwa kadi karibuni, sijui CEO wa Yanga alikuwa na kashifa.