Anzisha Redio yako ikuridhishe utakavyo.Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi kuwa Yanga, sijui Priva amechukuwa kadi karibuni, sijui CEO wa Yanga alikuwa na kashifa.
Wewe umezuiwa kuwa Mjuaji wa kila Kitu kama Yeye? Acha Nongwa ( Wivu ) na Uswahili sawa?Yaani Jemedari ndo anajifanya mjuaji wa kila kitu.
Sawa boss, nitafuata ushauri wako.Wewe umezuiwa kuwa Mjuaji wa kila Kitu kama Yeye? Acha Nongwa ( Wivu ) na Uswahili sawa?
Hakuna watu wanaopitia kipindi kigumu kwasasa kama Panya Road na mashabiki wa MAKOLO!,Na ukizingatia mashabiki wa MAKOLO ndo hao hao Panya Road,yaani mateso wanayopitia ni Jemedari binti kazumari tu ndiye anayejua![emoji23][emoji23][emoji23]Wewe umezuiwa kuwa Mjuaji wa kila Kitu kama Yeye? Acha Nongwa ( Wivu ) na Uswahili sawa?
Kipindi cha hovyo sana popomaWewe umezuiwa kuwa Mjuaji wa kila Kitu kama Yeye? Acha Nongwa ( Wivu ) na Uswahili sawa?
Kwani wewe unatakaje?Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi kuwa Yanga, sijui Priva amechukuwa kadi karibuni, sijui CEO wa Yanga alikuwa na kashifa.
Mhh.. nilifikiri utamuunga mkono sababu na wewe ulikiponda sana kipindi hicho zaidi ya mara 1Anzisha Redio yako ikuridhishe utakavyo.