Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.
HahahahahahahWakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.
Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.
Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!
Taarifa zaidi nitawaletea
Tatizo la kuongea kwa kudhania.Ndilo tatizo la watanzania wengi!Hujui kwa kuwa unaishi Dar na nadhani hujawahi hata kuwatafuta online ila unadhania tu kwa vile unadhani ni lazima wawe hukoWewe hiyo stream yako itakuwa ya kichina, radio za tz ni nyingi mno kwenye Internet kuzidi hizo za Kenya, Efm wako hewani 24/7
Maombi ni mengi sana mikoani hawa jamaa lazima watasambaa tuKuna sheria zake mkuu
Wakisha timiza miaka 3 nadhani ndo wana ruhusiwa kwa hiyo by mwakani Efm lazna itaanza kusambaa.
Mimi ni shabiki wa kugalagala wa Efm napenda ijitanue zaid pia
Na kinaua vipaji vya watangazaji wasiojulikana ambao wanahitaji airtime ya kujulikana na kujipambanua zaidi kwenye tasnia ya habariKitendo chao cha kunyang'anyana watangazaji, ni kitendo cha kupongezwa, kinawaongezea maslahi wafanyakazi wa vituo hivyo.
hii kitu huwa inanipa sana headache pia.Sasa Millard nilifikiri akitoka Clouds ataanzisha TV yake.....why aende ETV?
Kuna sheria zao lazima utimize miaka mitatu hapa dar ukikubalika unaruhusiwa kujipambanua mikoaniHawajaaa nilikuwa nawaspoti sasa wamenichosha wamengangania dar kama kupe waache ushamba
Acha uwongo E tvInaitwa B TV
Kwa utaratibu wa tcra huwezi kwenda mikoani bila kufikisha miaka3 hii ni kwa radio yoyote mpyaKabla ya kufungua hicho kituo cha TV wangehakikisha angalau Radio yao inafika kwenye Majiji ya Tz
Nimesikia inaingia zaidi ya mikoa 3 mkuuKuna sheria zake mkuu
Wakisha timiza miaka 3 nadhani ndo wana ruhusiwa kwa hiyo by mwakani Efm lazna itaanza kusambaa.
Mimi ni shabiki wa kugalagala wa Efm napenda ijitanue zaid pia
Wako azam au www.efm.co.tz au link kwa michuzi blog au tunein tz radio stationjaribu tunein wanaweza kuwepo, azam decoder wapo.
We ndo unamlipa mshahara??Millard ayo hatoki pale wacha kuota kwa sauti