Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.

Daaaahh wakimnyakua Millard, itakuwa ni balaa na pigo kubwa kwa radio mawingu.. Huwa nawaombea sana hawa E fm wazidi kuwa majembe ili kuleta balance kwenye media za burudani!! Maana mawingu waliiteka nyanja ya burudani na wakaota viburi kama miungu watu

Huu mchezo hauhitaji hasira!
 
Hii michezo yao kweli haihitaji hasira
 
Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.

Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.

Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!

Taarifa zaidi nitawaletea
Hahahahahahah
Drama zinaendelea
MAJJIZO kijana mdogo tu anawatetemesha ruge na kusaga ofisin hakukaliki kitandani hakulalaiki...
Mpaka kusaga kaamua kurudi bongo dubai hapakalilki
 
Wewe hiyo stream yako itakuwa ya kichina, radio za tz ni nyingi mno kwenye Internet kuzidi hizo za Kenya, Efm wako hewani 24/7
Tatizo la kuongea kwa kudhania.Ndilo tatizo la watanzania wengi!Hujui kwa kuwa unaishi Dar na nadhani hujawahi hata kuwatafuta online ila unadhania tu kwa vile unadhani ni lazima wawe huko
 
Hawajaaa nilikuwa nawaspoti sasa wamenichosha wamengangania dar kama kupe waache ushamba
 
Back
Top Bottom