EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Tatizo lilianzia kwa Magufuli hili. Nchi imekuwa ya hovyo Sana.

Hata Mungu anakosolewa sembuse sisiem.
Kama Magufuli ndio alianzisha tatizo kwani ni lazima Samia aendeleze. Aliyemfukuza Job Ndugai uspika naye tuseme alikuwa Magufuli. Sasa si tuache wazi kiti cha Rais tujue tunafuata muongozo wa marehemu.

Hakuna haja ya kumchagua Rais kisha tukabaki tunalialia kulalamikia aliyepita. Hili suala la kukubali kukosolewa halihitaji hata bajeti ya milioni 10
 
Ameharibu sana akili za watanzania, watu wanaamini katika kusifiwa. Wengine wanaamini kujikombakomba kwa watawala ndio kutawatoa kimaisha, haya yote yalipaliliwa na kumwagiliwa na Magufuli. Itachukua muda mrefu sana huu ugonjwa kupona.
 
Hiyo taarifa wao wameipachika tu mtandaoni lakini imeandikiwa pale karibu na tawi la CRDB unapopanda Mnazimmoja.
 
muziki munene it stands always as their main target rather than political issues

Kituo cha habari DHAIFU
 
Hao efm ni wapumbavu wa mwaka ..kama ni maoni binafsi kinachowawasha ni kipi?
 
Reactions: 911
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…