EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Kumbe kuna baadhi ya taasisi nchi hii zipo juu ya sheria za nchi, ukizifanyia kazi hutakiwi kutoa maoni yako!

Nonsense!.
 
Majizo ni mlamba asali,ukikubali kuajiriwa ni sawa na kuolewa huna sauti mbele ya mumeo.
Akisema vua chupi chap unashusha kitu no discussion.
Hiyo ya yy kulamba asali yaweza kuwa yes..ila kuhusu wanawake kuvua Pichu kwa kuamrishwa hivyo, hao ni wanawake wa karine ipi??
 
Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.

Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.

Kwa huu ujinga wenu, mnachochea moto wa uvunjifu wa sheria, halafu ukikolea kwa wapinzani kunyimwa haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, mnaanza kuhangaika kutaka kuuzima moto mliouwasha wenyewe!.

Nonsense.
 
Hata stress anazopata zinamtosha, we will rain in him like hell
 
Unadanganya watu hapa tunakuona.

Ni sheria gani ya ajira inayomkataza mfanyakazi kutoa maoni yake kuhusiana na maswala ya kisiasa nje na watumishi wa vyombo vya dola??
 
Hando na wenzie wapelekwe shule wakasome na siyo kutegemea kufanya kazi kwa mazoea. Kwamba elimu ya Form IV na ujanja ujanja itakufanya uwe star news anchor siyo sawa.

Hamna namna Gerald anaweza kuongelea mambo ya mikopo, fedha na uwekezaji kama hana elimu ya kiwango cha Masters kwenye uchumi, fedha au biashara. Lazima uchomoe betri tu
 
Yaani, halafu anakuwa na conclusive remarks kama mtaalamu, wakati si mtaalamu wa uchumi, what kind of journalism is that?
 
AKILI KUBWA
 
Hiyo ya yy kulamba asali yaweza kuwa yes..ila kuhusu wanawake kuvua Pichu kwa kuamrishwa hivyo, hao ni wanawake wa karine ipi??
Sasa mkeo anaanzaje kukataa kushusha chupi? Kwani wewe ni ndugu yake?
Ameolewa na wewe ili iweje?
Ukiona unamuambia mkeo avue chupi na yeye hataki jua wewe ndio umeolewa.
 
Kwa hiyo sisi tulioshia darasa la saba B hatupaswi kujadili mambo hayo ya madeni na uchumi?
Hao unaowaona ni wasomi wa masters ni fully useless zaidi ni kulamba asali na nyayo za watu.
 
Kumbe kuna baadhi ya taasisi nchi hii zipo juu ya sheria za nchi, ukizifanyia kazi hutakiwi kutoa maoni yako!

Nonsense!.
Kila taasisi Tanzania ina sera zake kuanzia Serikalini hadi vyama vya siasa that's why Zitto kabwe alifukuzwa Chadema na wengineo walifukuzwa CCM kama Membe na hata Serikalini wanakwambia kila staff lazima afuate sera ya Serikalini inataka nini inawezekana hujui au kama unajua unataka kuleta arguments za kipumbavu
 
Efm na tve ni biashara,na biashara haitakiwi kugombana na wanasiasa wenye mamlaka,hando Kama maoni yanamuwasha Sana alitakiwa ayatoe kweje kurasa zake au aanzishe media yake abwabwaje kutwa
 
Ndo tabu ya kuajiriwa na darasa la 7.
Km bosi wako anaamrishwa na kukufuta kibarua,iko siku ataambiwa abadili chanel na mkewe hataki kukuona na kesho akaja kukufuta kazi
 
Kwa hiyo sisi tulioshia darasa la saba B hatupaswi kujadili mambo hayo ya madeni na uchumi?
Hao unaowaona ni wasomi wa masters ni fully useless zaidi ni kulamba asali na nyayo za watu.
Hata aliyefika chuo na hakusoma uchumi na fedha hajui chochote kuhusu uchumi na mikopo
 
Tunachokichujua
Source 1
Source 2
Hando alitoa maoni yake tu kama raia wa kawaida wa nchi tena mlipa kodi.
Ila amini nakwambia, nyuma ya Hando kuna kundi kubwa la raia wa ndani na nje ya mfumo wanaounga mkono kauli yake.
Nchi inakopa sana hii na sisi ndio walipaji ingawa hata masharti ya mkopo hatuyajui.

Lakini inatokea mbuzi ya Lumumba hapa inajambajamba inasema hatuna elimu ya uchumi so tunyamaze.
Guys! matokeo hasi ya uchumi ulioharibiwa yanaonekana hata kwa asiye na elimu! pumbaf nyinyiem!
 
Hata aliyefika chuo na hakusoma uchumi na fedha hajui chochote kuhusu uchumi na mikopo
Ww nawe ni mlamba asali maana mna mbwembwe za kipigaji sana.!!!
Sisi tunaendelea kujadili kuwa mikopo ya ajabu tutakuja kuuzwa kama mbuzi.
 
Nonsense!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…