Zitto alifukuzwa Chadema akakimbilia mahakamani bado akashindwa kesi, hiyo maana yake hakuonewa na Chadema.Kila taasisi Tanzania ina sera zake kuanzia Serikalini hadi vyama vya siasa that's why Zitto kabwe alifukuzwa Chadema na wengineo walifukuzwa CCM kama Membe na hata Serikalini wanakwambia kila staff lazima afuate sera ya Serikalini inataka nini inawezekana hujui au kama unajua unataka kuleta arguments za kipumbavu
Kwani akitoa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ndio hawi mfanyakazi wa EFM?!Efm na tve ni biashara,na biashara haitakiwi kugombana na wanasiasa wenye mamlaka,hando Kama maoni yanamuwasha Sana alitakiwa ayatoe kweje kurasa zake au aanzishe media yake abwabwaje kutwa
Akayatolee huko Masai Pub anakoleweaga, EFm ina heshima kubwa sana, wahuni wasiitumie vibayaUnadanganya watu hapa tunakuona.
Ni sheria gani ya ajira inayomkataza mfanyakazi kutoa maoni yake kuhusiana na maswala ya kisiasa nje na watumishi wa vyombo vya dola??
Ni tofauti,wenye mamlaka hawatong'ong'ana na mwenye mediaKwani akitoa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ndio hawi mfanyakazi wa EFM?!
Kwa akili zenu mbovu, kuna Hando wawili tofauti, wa EFM, na wa twitter!.
Mental slavery.
Hujakatazwa,endelea kujadili vitu usivyovijua,ni kawaida kwa watz,kule Dom watafiti waliouawa na wanakijiji kwa kudaiwa ni mumiani(wanyonya damu)..hapo wajinga kabla ya kuua walijadili kwa kina na jazba wasiyoyajuaWw nawe ni mlamba asali maana mna mbwembwe za kipigaji sana.!!!
Sisi tunaendelea kujadili kuwa mikopo ya ajabu tutakuja kuuzwa kama mbuzi.
Chezea asali wewe. Wenzako siku zote wanapigania ugali wao. Usije ukaona watu wanatoa povu humu ukadhani wana uchungu na Watanzania. Hata huyu mleta mada ipo siku atakushangaza.Hata wewe!!!!!???
Wasomi wengi wa bongo ni usanii mtupu.Hujakatazwa,endelea kujadili vitu usivyovijua,ni kawaida kwa watz,kule Dom watafiti waliouawa na wanakijiji kwa kudaiwa ni mumiani(wanyonya damu)..hapo wajinga kabla ya kuua walijadili kwa kina na jazba wasiyoyajua
Itakua huna elimu,umejenga husda na wasomi,ukiumwa unaenda kwa hao wasomi wasaniiWasomi wengi wa bongo ni usanii mtupu.
Husda ya nini jombaa..!!Itakua huna elimu,umejenga husda na wasomi,ukiumwa unaenda kwa hao wasomi wasanii
Sidhani kama tuko kwenye same page.Nonsense!.
Umekutana wapi na wasomi wa nchi hii kwa wingi huo ukawafanyia tathmini!?Husda ya nini jombaa..!!
Hata mm sio ngumbaru shule ipo ya kutosha ya ndani na nje ya Tz na sasa ni mstaafu nanyonya pensheni tu.
Ndio maana nimesema wasomi wengi wao ni empty set sio wote.
Nawe ni msomi empty set nini?
Kama hujasoma wewe ishia vijiweni au kwenye daladala. Masuala ya kitaalamu siyo sawa na dera ambalo yeyote annavaa, awe na matako au hanaKwa hiyo sisi tulioshia darasa la saba B hatupaswi kujadili mambo hayo ya madeni na uchumi?
Hao unaowaona ni wasomi wa masters ni fully useless zaidi ni kulamba asali na nyayo za watu.
Elewa kuwa mm ni mstaafu,nimefanya nao kazi kwa miaka mingi na maeneo mengi.Umekutana wapi na wasomi wa nchi hii kwa wingi huo ukawafanyia tathmini!?
Hamna kitu kibaya kama colonisation of the mind.Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.
Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya.kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.
Kwa huu ujinga wenu, mnachochea moto wa uvunjifu wa sheria, halafu ukikolea kwa wapinzani kunyimwa haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, mnaanza kuhangaika kuuzima moto mliouwasha wenyewe!.
Sawa unajiona nawe upo kundi la wasomi?Kama hujasoma wewe ishia vijiweni au kwenye daladala. Masuala ya kitaalamu siyo sawa na dera ambalo yeyote annavaa, awe na matako au hana
Mstaafu hawezi tumia neno jombaaElewa kuwa mm ni mstaafu,nimefanya nao kazi kwa miaka mingi na maeneo mengi.
Basi mm ni mwanafunzi wa chekechea.Mstaafu hawezi tumia neno jombaa
..Hando kavunja sheria gani ya nchi?Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.
Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya.kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.
Kwa huu ujinga wenu, mnachochea moto wa uvunjifu wa sheria, halafu ukikolea kwa wapinzani kunyimwa haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, mnaanza kuhangaika kuuzima moto mliouwasha wenyewe!.
Change your Mindset kuhusu elimu. Unaweza kuwa na Masters au hata PhD na usiwe na uwezo wa kuzungumzia mambo kama huyo Hando. Alafu dunia ya sasa imebadilika sana..information is everywhere hivyo suala la mtu kuwa informed na mada mbalimbali ni juhudi tu na siyo kumiliki Vyeti vya Chuo. Bongo wapuuzi wengi na wapumbavu ni haohao wenye MastersHando na wenzie wapelekwe shule wakasome na siyo kutegemea kufanya kazi kwa mazoea. Kwamba elimu ya Form IV na ujanja ujanja itakufanya uwe star news anchor siyo sawa.
Hamna namna Gerald anaweza kuongelea mambo ya mikopo, fedha na uwekezaji kama hana elimu ya kiwango cha Masters kwenye uchumi, fedha au biashara. Lazima uchomoe betri tu