EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Uhuru wa kujieleza haupo. Tunaishi nchi ya hovyo kabisa. Je, tutaipata katiba mpya kama wananchi hawaruhusiwi kujieleza?
 

Your browser is not able to display this video.
 


Huu ujinga wa kutaka kuyaficha makosa ya mama yenu kwa JPM, huku yale mazuri mkiplmpa mama yenu mwenyewe, si ujui unatoka wapi?

Kwenye utawala wa SSH tena yeye mwenyewe akiwa rais (karibia miaka miwili), unawezaje kuzitupa hizo lawama kwa JPM?

Kizuri kinafanywa cha SAMIA ila kibaya cha awamu hii kinageuzwa kuwa JPM?
 
Kuna philosophy inasema hakuna Jambo lisilo na mwisho.Mwisho wa CCM utafika tu ndugu yangu.Sisi tutakuwa tunaongelea tu humu JF .Mungu ibariki Tz mwisho wa CCM unakaribia.
Endelea kuota, bila shaka hujui vyama vyote vya upinzani ni extension ya mkono wa CCM ....they are state apparatus.

Cc::

Mrema.
Lipumba.
Cheyo.
Mbatia.
Selasini.

Endless list
 
Mbona nyie hampendi kukosolewa

Mnataka msifiwe tu

Ova
 
SAKATA la Gerald Hando kuchukuliwa hatua na uongozi wa E-FM kwa kusema hafurahishwi na Serikali inavyokopa kopa unatupa mashaka makubwa sisi wasikilizaji na wadau wa E-FM na kuanza kujiuliza upya kama kweli Majizo ndiye mmiliki halali wa E-FM
Your browser is not able to display this video.


 
Endelea kuota, bila shaka hujui vyama vyote vya upinzani ni extension ya mkono wa CCM ....they are state apparatus.

Cc::

Mrema.
Lipumba.
Cheyo.
Mbatia.
Selasini.

Endless list
Yaan unachoongea ,inaonekana hauna ufahamu na uelewa wa philosophy za dunia hii.Kwa ufupi hauna elimu ya kutosha.Unajadili issue sensitive Kama mtoto mdogo w darasa la saba B.Nimeshituka sana kuona material zako zikiwa pointless.Nikwambie Tanzania sio kisiwa.Ipo siku kila kitu kitakuwa sawa.Jaribu kusoma theory za dunia kwenye vitabu usibaki nyuma unaonekana upo empty kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…