EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Amfukuze kisa kashindwa kuabudu Mama?
 
Mkuu,

Haya mambo yalikuwapo tangu enzi za Nyerere.

Watu walifungwa kwa kumkosoa rais. Mpaka vyama vingi vikafutwa.

Haya hayakuanza na Magufuli.

Magufuki kaja kufanya kijinga tu mpaka kipofu kaona.
Literature za wakati wa Nyerere zinaonesha hali ilikuwa mbaya ila wengi hawakiwa wasomi kwa hiyo hawakusense kwamba hawana uhuru. Tena walisakwa wakakimbia nchi... mfano ni Ludovick Mwijage
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo aliyo kunywa sio pombe itakua nyongo ya mamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh!!
 
Hivi Hando alitukana? Ameua au? Msimamo wa taasisi ni upi?

George Orwell kwnye kitabu cha 1984 alisema

"And if all others accepted the lie which the Party imposed—if all records told the same tale—then the lie passed into history and became truth"

Ukweli umekua uongo,na uongo ukweli.
 
Always, Big Brother is watching
 

Sawa, lakini hoja yangu ni kwamba hata wakati ambapo kuna ka uhuru hakunaga mtu anachambua mikopo ya serikali redioni kwa dhati....

vipindi vyenyewe really ni vya burudani, hizo opinion za hard core issues wanachomekea tu...

Huyo Hando juzi kamchana Makamba kwamba amuulize Kalemani aliwezaje kazi.. Unajua nani alikuwa host anaemhoji ? MAULIDI KITENGE!
Mwandishi wa michezo, mizaha na burudani.

Huyu anawezaje ku host kipindi cha kuchambua uchumi wa nchi ???
 
Kwani uongo?!
Mwamvua atauza Tanganyika muda wowote...
 
Itoshe tu kusema Nchi iko pabaya[emoji34][emoji34][emoji45][emoji46]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…