EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Mama ameruhusu uhuru wa maoni.....

Lakini uhuru baada ya maoni ni siri ya serikali
 
Acha ujuha magufuli kafa almost 2yrs ago,kama mtu ana nia ya kubadili tabia angeibadili mapema mno usimuhusishe jpm kwa ujinga wa mtu mwingine, jpm alifaya yake kwa style yake tumeyaona .
 
D
 
Hivi unajua Ulimboka alifanywa nn? Unajua Dkt Mvungi alipo? Unajua mabwepande ilikuwa maarufu kipindi gani mkuu?

Wote CCM ukoo wa panya hakuna mwema. Watu wasiojulikana. Lwajabe, Saanae na Azory wamepotea mpaka Leo hakuna anayeshughulika nao. Nchi inapelekwa kijinga.
 
Unamunea tu huyo Magufuli!

Kwani huyo Samia wenu anatembelea akili za JPM?
 
Miaka ishirini ijayo Tanzania itakuwa ya mazombi. Tutaishi kwa kauli ya serikali.
 
Kwa hiyo hangaya akiambiwa kuhusu kukopakopa tayari inakuwa nongwa, alianza ndugai leo kafuata huyu........mbona nchi imekuwa kama kampuni binafsi ya mtu?
 
Habdo bana Duuu alitaka kupata cheap popularity......nimegeuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…