EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.

Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.

View attachment 2464611
Mama ameruhusu uhuru wa maoni.....

Lakini uhuru baada ya maoni ni siri ya serikali
 
Nilimpenda Magufuli kwenye mambo mengi lakini kwenye hili la kupenda kusifiwa tu ameharibu Sana mfumo. Nchi imegeuka ya hovyo mtu akikosoa tu anaonekana adui,atasakamwa na kesi za uhujumu nchi atapewa.
Mama amerithi na kuiendeleza tabia mbovu na ya hovyo Sana.
Acha ujuha magufuli kafa almost 2yrs ago,kama mtu ana nia ya kubadili tabia angeibadili mapema mno usimuhusishe jpm kwa ujinga wa mtu mwingine, jpm alifaya yake kwa style yake tumeyaona .
 
D
Umemsahau Malkia Elizabeth, waliobakia wote sasa hivi ni satanic, Dunia imekwisha, Pope, Malkia Elisabeth ndiyo waliokuwa wanazuia ushetani sasa wote wameenda, satanic system inaongoza, thermal war is coming in Europe hakuna wa kuzuia, wengi hawajui nini kinaendelea Duniani, tunaishi katika wakati mgumu na hatari klk wakati wowote ule, satan in control.

Tanzania haijawahi kuwa hivi tangia kuanzishwa kwake, na bado wengi hawajui what is coming, Diamond kapigwa mamilioni siajabu labda kakataa tu uchawa, na Diamond ni Muislamu hivyo no
one is safe, …
[/QUOTED]

Diamond wenzake wanatekwa akatunga nyimbo yeye ananyamaza . Kana kwamba watu wasiojulikana hawamuhusu.

Ila Leo nimeshangaa analia kuwa TRA wanafanya mkimbizi. Kwa diamond ilikuwa ni karma.

Kuhusu akina queen Elizabeth na Pope Benedict wote walikuwa above 90, ulitaka waishi mpaka lini.

All in all Good is in Control na mwaka 2023 ni mwaka wa mafanikio na kuwa karibu na Mungu.
 
Hivi unajua Ulimboka alifanywa nn? Unajua Dkt Mvungi alipo? Unajua mabwepande ilikuwa maarufu kipindi gani mkuu?

Wote CCM ukoo wa panya hakuna mwema. Watu wasiojulikana. Lwajabe, Saanae na Azory wamepotea mpaka Leo hakuna anayeshughulika nao. Nchi inapelekwa kijinga.
 
Nilimpenda Magufuli kwenye mambo mengi lakini kwenye hili la kupenda kusifiwa tu ameharibu Sana mfumo. Nchi imegeuka ya hovyo mtu akikosoa tu anaonekana adui,atasakamwa na kesi za uhujumu nchi atapewa.
Mama amerithi na kuiendeleza tabia mbovu na ya hovyo Sana.
Unamunea tu huyo Magufuli!

Kwani huyo Samia wenu anatembelea akili za JPM?
 
Miaka ishirini ijayo Tanzania itakuwa ya mazombi. Tutaishi kwa kauli ya serikali.
 
Kwa hiyo hangaya akiambiwa kuhusu kukopakopa tayari inakuwa nongwa, alianza ndugai leo kafuata huyu........mbona nchi imekuwa kama kampuni binafsi ya mtu?
 
Yaliyopo nyuma ya pazia baada ya kauli Ile ilikuwa lazima waombe msamaha na aliyeshauri Jambo Hilo ni watu wa TCRA na wizara husika .... usifikiri watu wamekurupuka kuomba msamaha hata hiyo hatua wanayosema wamechukua ni zuga Tu wananchi ili tutulie, serikali ndo yenye shida
Habdo bana Duuu alitaka kupata cheap popularity......nimegeuka!!
 
Back
Top Bottom