Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Namkumbuka mzee wa mabwepande.Mkuu Satoh je unamjua mtu mmoja wa kuitwa DR Ulimboka!!? Huyo Ulimboka yalimpata ya kumpata kipindi cha JK!!
Lakini enzi ya jiwe hizi mambo Ni Kama zilipigwa muhuri Kaka,au tuseme sisiem Siyo watu wazuri na siyo watu wa kuwaamini.