eFootball Special Thread

Mkuu kama upo Naomba mechi mojaπŸ˜ƒya kutoa tathmini ili unipe madini vizuri..

Umeshaniadd kama Rafiki nadhan
 

Kuna huyu jamaa alinifunga goli 1 wakati natafuta coins kwenye event nikamtumia friend request kwaajili ya kulipa kisasi na nimelipa ipasavyo πŸ˜‚.
 
Inabidi niwe makini usije nipiga 5 GπŸ˜€
Moja ya changamoto nayokutana nayo ni simu nayotumia kwenye game, kuna muda nakuwa nacheza huku inagomagoma na wakati mwingine game inakata kabisa inarudi kawaida.

Bahati njema game nilizocheza leo haijasumbua sana maana ningeonekana nimekimbia πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…