eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Upo vizuri mkuu ukipata wachezaji wazuri utakimbiza mpaka division 1.

Mimi ninacheza back 5 kuzuia 😀 ila nikiwa nampira inakua 433 nimemuwekea Costacurta CB attacking instruction anakua midfielder kupata on target inabidi ujipange😀View attachment 3239161
Mkuu kama upo Naomba mechi moja😃ya kutoa tathmini ili unipe madini vizuri..

Umeshaniadd kama Rafiki nadhan
 
Nitaweka matokeo hapa mkuu, mechi zilikuwa za ushindani kiasi japo zote umenifunga 😂
IMG-20250217-WA0019.jpg
IMG-20250217-WA0020.jpg

NEGAN ngoja nijipange kwaajili ya kisasi 😂.
 
IMG-20250217-WA0021.jpg

Kuna huyu jamaa alinifunga goli 1 wakati natafuta coins kwenye event nikamtumia friend request kwaajili ya kulipa kisasi na nimelipa ipasavyo 😂.
 
Inabidi niwe makini usije nipiga 5 G😀
Moja ya changamoto nayokutana nayo ni simu nayotumia kwenye game, kuna muda nakuwa nacheza huku inagomagoma na wakati mwingine game inakata kabisa inarudi kawaida.

Bahati njema game nilizocheza leo haijasumbua sana maana ningeonekana nimekimbia 😂.
 
Back
Top Bottom