eFootball Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23] ujapigwaa nyingi wee uko unataka kukimbia
Tigo nao wamechangia mimi kupoteza mechi nyingi online sababu hapa nilipo mtandao mzito hivyo wachezaji nao wanakuwa wazito kurespond
 
DLS hata lingekua na GB 3 na ku-update kila mwezi bado watu hawataliacha u know y? Ndio game Bora zaidi kwenye upande wa simu....
"Kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni Bora...." Fid Q
Nimecheza DLS, PES (Efootball) na FIFA kwenye simu nilichoona:

Gameplay- Efootball hana mpinzani
Graphics- FIFA anamzifi e football
DLS- Affordable watu wengi wanalimudu halina gharama
 
Wakuu iv ndo hakuna mwenye hili game 🤔
Jitokezeni basi niwachape Friendly online 😂
 
Msaada kuset obb na data za game la fts 24 maana kwa simu yangu nimejaribu nafeli inaandika hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…