Efootball vs dream league soccer(dls)

E football sio la kila mtu mkuuu..kufikia apo tu jibu liko wazi .ukicheza e football huta wahi rudia kucheza dsl tena
Naona una beki kisiki Nesta
Hahahq
Alf unatunz coin za Messi 103 nini?
 
Maelezo yako umejitahidi kutaka kuaminisha unachokipenda ndio sahihi.. umejaribu kujificha fiche lkn mwisho ukaamua kuweka wazi
 
Nani yupo online tucheze dls mda huu
 
Fifa mobile me ndo nalipenda ila watu awalitaki kwasababu ni online tuu pekee, ila ni kali updates za kutosha graphics za juu na mode of play kalii, DLS nafutaga tu ata kulicheza naonaga alinifurahishi
 
Hala DLS ni online Tu sikuhizi
 
DLS bado Litabaki kua game pendwa Kwa upande wa simu..
Sijakataa ila ukizungumza uzuri wa game si game zuri compared to Fifa na pes sijawahi cheza , fifa haaland ni haaland jude ni jude kuanzia anavyo cheza skills mpaka styles za mtindo wa maisha, DLS realistic ipo nyuma ni mtizamo wangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…