Efootball vs dream league soccer(dls)

Efootball vs dream league soccer(dls)

E football sio la kila mtu mkuuu..kufikia apo tu jibu liko wazi .ukicheza e football huta wahi rudia kucheza dsl tena
Naona una beki kisiki Nesta
Hahahq
Alf unatunz coin za Messi 103 nini?
 
Maelezo yako umejitahidi kutaka kuaminisha unachokipenda ndio sahihi.. umejaribu kujificha fiche lkn mwisho ukaamua kuweka wazi
 
Nani yupo online tucheze dls mda huu
 
Kwa mimi nimecheza game zote ila eFootball ni moja ya game bora sana ikifuatiwa na Fifa mobile hii ni Kwa sababu ya kiwango cha juu cha gameplay realistic , graphic , pia inakupa challenge ya kutosha kuliko DLS.
Kwa sasa wameita eFootball Kwa maana ya electronic football kuwezesha Michezo ya eSport ambayo wachezaji watashindana online Kwa maeneo tofauti duniani. Aisee efootball ipewe maua yake
Fifa mobile me ndo nalipenda ila watu awalitaki kwasababu ni online tuu pekee, ila ni kali updates za kutosha graphics za juu na mode of play kalii, DLS nafutaga tu ata kulicheza naonaga alinifurahishi
 
Hala DLS ni online Tu sikuhizi
 
Back
Top Bottom