Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwao ni Gaza sio Egypty, hakuna atakae kubali watu wafukuzwe kwao , watabaki hapo hapo GazaNimeshangaa Egypt haitaki kabisa kuwa msaada kwa wanaGaza ili wapate mapumziko.
Unaona huu ukuta. Unaweza sema Trump katili sana kajenga huu ukuta kuzuia wapalestine wasiingie USA.
Unakuja kuambiwa ni ndugu wa Damu. Hakuna anayewataka Wapalestine. Sijui kwa nini. Huu mpaka wa Egypt na Gaza
View attachment 3138321
msianze kusema pray for Gaza , walikuwa wanaish kwa aman kbs ila wakachagua vitaKwanini waende Egypt haliyakua kwao ni Gaza?. Na waunga mkono Misri au nchi yeyote nyingine kulazimisha wabaki gaza wakipigania aridhi yao.
Yaani ukimbie kwako kumpisha mvamizi?. Afadhar ufe umesimama kuliko kuishi maisha Yako yote imepiga magoti.msianze kusema pray for Gaza , walikuwa wanaish kwa aman kbs ila wakachagua vita
Ardhi ya Wayahudi hiyo, hii vita tunayoishuhudia sasa hivi ya Wapalestina kuuwa iliwahi kutokea enzi za giza ambapo wafuasi wa Muhammad waliua watu Middle East kwa kuwalazimisha wawe Waislam. Ni Wayahudi pekee waligoma kubadili imani na kukimbilia nchi zingine duniani, mwaka 1948 waliamuq kurudi kwaoKwanini waende Egypt haliyakua kwao ni Gaza?. Na waunga mkono Misri au nchi yeyote nyingine kulazimisha wabaki gaza wakipigania aridhi yao.
Hujui historia wewe. Kasoma Historia ya Ibrahim kutoka MESOPOTAMIA kuja Caanan ambayo ni Gaza ya sasa.Ardhi ya Wayahudi hiyo, hii vita tunayoishuhudia sasa hivi ya Wapalestina kuuwa iliwahi kutokea enzi za giza ambapo wafuasi wa Muhammad waliua watu Middle East kwa kuwalazimisha wawe Waislam. Ni Wayahudi pekee waligoma kubadili imani na kukimbilia nchi zingine duniani, mwaka 1948 waliamuq kurudi kwao
Hahaha.Wote wanashea Allah mmoja.
Kama sio unafiq ni nini? Bas awajaalie qauli thabeet
Ardhi yao wanayo haki ya kupigania hawana pengine kwa kwenda, Egypty hawezi beba mzigo wa IsraelAllah na mudi wamekula jona na kuingia chaka baada ya kuwaingiza mkenge.