baba sumayyah
Member
- Sep 10, 2024
- 12
- 10
Inategemea na muislam mwenyewe ni mwenye itikadi zipi, kama ni hawa kina Dr sule wanaotupia kila lawama ya kufeli kwetu kwa serikali na mayahudi sawa, lakini muislam anaejielewa na mwenye itikadi ya sawa ana upendo,unyenyekevu,huruma, ukarimu,wema na Upole hadi kwa Wanyamq sikwambii kwa myahudi wala mkristoMuslim brotherhood utawaonea tu; wameanza juzi tu hao. Israel na Palestina hawajaanza leo kugombana. Waislamu hawanaga UPENDO kama Wakristo. Tizama, mashariki ya kati yote ile, mahali walipowahi kupokelewa ni Lebanon kwenye Wakristo wengi, sio Iraq ya Waislam, Syria, Iran wala wapi. Wakifanikiwa, watakwenda nchi za makafiri. Neno samahani na upendo kwa Waislamu hakuna.