stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Mipaka ya middle east inahakikisha vita ya milele.
Hao Watu wa Gaza wapelekwe Sinai au Negev.
Hao Watu wa Gaza wapelekwe Sinai au Negev.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Syria Assad na Hezbollah waliua sana Wapalestina ila FaizaFoxy hazungumzii kabisa hili.Ukiwakaribisha Kobazi leo, kesho watataka ufuate masharti yao
Dah so sad mamilioni ya Walebanoni wanaishi nje ya nchi wameamua kuwaachia magaidi nchi yao tamu iliyojaa maziwa na asaliWashajifunza kwa Lebanon
Lebanon wakristo walijifanya wana moyo safi wa kisabato mpaka mda huu hawaamini macho yao
Wanajuta vibaya mno nchi ishakuwa chaka la magaid
Egypt anajua hilo
Wanaotaka kuondoka Gaza hawapigani vitaKwanini waende Egypt haliyakua kwao ni Gaza?. Na waunga mkono Misri au nchi yeyote nyingine kulazimisha wabaki gaza wakipigania aridhi yao.
Inshallah 😄😄🤣🤣Wote wanashea Allah mmoja.
Kama sio unafiq ni nini? Bas awajaalie qauli thabeet
Makundi yote ya kigaidi ya Iran, yanachukiwa na nchi zote za kiarabu.msianze kusema pray for Gaza , walikuwa wanaish kwa aman kbs ila wakachagua vita
Kwa hio huu ukuta ulijengwa ili kuwalinda watu wa Gaza?Kwao ni Gaza sio Egypty, hakuna atakae kubali watu wafukuzwe kwao , watabaki hapo hapo Gaza
Famba, Gaza haikuwahi kuwa Mesopotamia.Hujui historia wewe. Kasoma Historia ya Ibrahim kutoka MESOPOTAMIA kuja Caanan ambayo ni Gaza ya sasa.
Muslim brotherhood utawaonea tu; wameanza juzi tu hao. Israel na Palestina hawajaanza leo kugombana. Waislamu hawanaga UPENDO kama Wakristo. Tizama, mashariki ya kati yote ile, mahali walipowahi kupokelewa ni Lebanon kwenye Wakristo wengi, sio Iraq ya Waislam, Syria, Iran wala wapi. Wakifanikiwa, watakwenda nchi za makafiri. Neno samahani na upendo kwa Waislamu hakuna.Siasa zimeingia kati .. Muslim Brotherhood ni chama pinzani ambapo serikali ya Egypt inakichukulia kama chama cha kigaidi .. Muslims brotherhood Wana uhusiano wa karibu mno na Hamas ..hadi Idiology .. watu wa Ghaza walichagua hamas kwa kura nyingi mno kutawala Ghaza .. Huo ukuta ni product za Siasa za Kidunia na wamesahau Dini .. kwani mbele ya Allah hautaulizwa chama chako cha kisiasa bali dini yako ..
Ili kuzuia kila mtu abaki kwaoK
Kwa hio huu ukuta ulijengwa ili kuwalinda watu wa Gaza?
Muslim brotherhood utawaonea tu; wameanza juzi tu hao. Israel na Palestina hawajaanza leo kugombana. Waislamu hawanaga UPENDO kama Wakristo. Tizama, mashariki ya kati yote ile, mahali walipowahi kupokelewa ni Lebanon kwenye Wakristo wengi, sio Iraq ya Waislam, Syria, Iran wala wapi. Wakifanikiwa, watakwenda nchi za makafiri. Neno samahani na upendo kwa Waislamu hakuna.
Sio wanachukuliwa ni magaidi bali ukweli ndio huo, Muslim brotherhood ni magaidi na wamechangia uharibifu mkubwa sana katika jamii za waislamu duniani kote kiasi ambacho Uislam ukaonekana ni dini ya vurugu,machafuko,mapinduzi, mauaji na mengineyo mfanowe.Siasa zimeingia kati .. Muslim Brotherhood ni chama pinzani ambapo serikali ya Egypt inakichukulia kama chama cha kigaidi .. Muslims brotherhood Wana uhusiano wa karibu mno na Hamas ..hadi Idiology .. watu wa Ghaza walichagua hamas kwa kura nyingi mno kutawala Ghaza .. Huo ukuta ni product za Siasa za Kidunia na wamesahau Dini .. kwani mbele ya Allah hautaulizwa chama chako cha kisiasa bali dini yako ..
Allah mwenyew hataki kuwasikia wala kuwaona Hamas sembuse Egypt. Wale Hamas walipokuwa wanabaka kule Israel teh 7/10 walikuwa wakifikia kishindo( kukojoa) wanamtaja yeye "Allahu akbar" yaani kifupi Allah kavurugwa na hamasWote wanashea Allah mmoja.
Kama sio unafiq ni nini? Bas awajaalie qauli thabeet
Sio wanachukuliwa ni magaidi bali ukweli ndio huo, Muslim brotherhood ni magaidi na wamechangia uharibifu mkubwa sana katika jamii za waislamu duniani kote kiasi ambacho Uislam ukaonekana ni dini ya vurugu,machafuko,mapinduzi, mauaji na mengineyo mfanowe.
Uingereza anaanza kujuta, Ufaransa waliofanya kosa matokeo wanayaona.Ukiwakaribisha Kobazi leo, kesho watataka ufuate masharti yao