Egypt: Hii siyo sawa kuwafanyia ndugu zenu. Kuna nini Kinaendelea hapa?

Inategemea na muislam mwenyewe ni mwenye itikadi zipi, kama ni hawa kina Dr sule wanaotupia kila lawama ya kufeli kwetu kwa serikali na mayahudi sawa, lakini muislam anaejielewa na mwenye itikadi ya sawa ana upendo,unyenyekevu,huruma, ukarimu,wema na Upole hadi kwa Wanyamq sikwambii kwa myahudi wala mkristo
 
Yaani Egypt waliweka ukuta wa kwanza wakaona ni mdogo hautoshi wakaamua kuongeza mara 5 zaidi juu ili hata kuku wa Palestina wasiruke kuingia Egypt

Na wapo wameweka Shoti
 
Sisi masali tushaitwa sana kuwa ni mawakala wa Mossad,sisi ni mayahudi,sisi ni vibaraka tunapokea Hongo kutoka US lakini si kweli, Usalafi ndio Uislam halisi kwa anaetaka kuujua Uislam.
Hiyo London tazama vurugu za hao wanaharakati kama utawakuta masalafi.!!!!
 
Muslim Brotherhood iliasisiwa na Yasser Arafat, na wakati huo Yasser Arafat alikuwa akiishi Egypt na hakukuwa na mgogoro wowote
 
kwani mbele ya Allah hautaulizwa chama chako cha kisiasa bali dini yako ..
Hakuna wa kukuuliza dini yako bali matendo yako...oh wait a minute, kumbe allah, huyo hana shida vyovyote utakavyofanya na vyovyote utakavyokuwa yeye ili mradi uwe muislam hana noma
 
Kwanini waende Egypt haliyakua kwao ni Gaza?. Na waunga mkono Misri au nchi yeyote nyingine kulazimisha wabaki gaza wakipigania aridhi yao.
Walikuwa wanakimbia vita Baada ya Israel kuivamia Gaza, so walikuwa waende kupata hifadhi yamuda...hasa Wakina mama, Wazee na Watoto

Kwamba hukujua hilo?
 
Ni kweli kabisa
 
Walikuwa wanakimbia vita Baada ya Israel kuivamia Gaza, so walikuwa waende kupata hifadhi yamuda...hasa Wakina mama, Wazee na Watoto

Kwamba hukujua hilo?
Wakiondoka Israel haitoruhusu warudi, ndio maana Jana Waziri wa ulinzi anasema waisrael wakajenge Gaza unafikiri kama wangeondoka wote hali ingekuaje?.
 
Kuna mataifa ambayo ndani yao Kuna DNA za Lucifer mfano. Syria ndio maana Yuda eskariotti ilikuwa kwake rahisi sana kumsalimu Yesu Kristo. Eskariotti maana yake ni mwanaume kutoka syria
 
Kuna mataifa ambayo ndani yao Kuna DNA za Lucifer mfano. Syria ndio maana Yuda eskariotti ilikuwa kwake rahisi sana kumsalimu Yesu Kristo. Eskariotti maana yake ni mwanaume kutoka syria
Kumbe....sikuwa najua hilo. Syria wana asili ya usaliti? Ipo damuni.
 
Hakuna wa kukuuliza dini yako bali matendo yako...oh wait a minute, kumbe allah, huyo hana shida vyovyote utakavyofanya na vyovyote utakavyokuwa yeye ili mradi uwe muislam hana noma

Waislam tunavyamini..pale ukishazikwa tu na ndugu zako kuondoka malaika anakuja na kuuliza dini yako , Mungu wako na mtume wako .. maswali matatu muhimu
 
Allah akuhifadhi Baba sumayyah usichoke kutoa elimu sahihi..
 
Waarabu wanaishi kimatabaka. Hata ukisikia nchi ya kiarabu ina hela. Hela hiyo unagawanywa kwa ukoo na ukoo. Hauwezi kufanikiwa Saudia kama wewe si mzawa wa Al Saud. Hauwezi kufanikiwa Dubai kama wewe si mzawa wa Makhtoum. Sasa swali langu kwako kama nchi zinajigawa kimatabaka je zitaweza kusaidia nchi nyingine ? Naongezea kwa kusema ndio maana wakija huku wanaishia kujenga misikiti na visima kwa ajili ya kutawadhia. Hawawezi kusaidia zaidi ya hapo .
 
Hufahamiki sijuwi umeandika nini?
Lakini unapaswa kujua Israel wana mpango wa kuwafurusha na kuwahamisha wapalestina wote kwenye ardhi yao, Egypt saiv kiongozi aliyepo ni kibaraka wa US na mpango wa US ni kuwafanya wapalestina wasiwe ni wenye haki wala ardhi yoyote wawe ni watu wa kutanga tanga kama walivyokuwa hayo mayahudi kabla ya kuiba ardhi ya Palestine
 
Hujui historia wewe. Kasoma Historia ya Ibrahim kutoka MESOPOTAMIA kuja Caanan ambayo ni Gaza ya sasa.
Ukweli ndio huo, Middle East walikuwa Wakristu, hata hao Wapalestina, nyakati za kueneza muislam kwa upanga ndipo Wayahudi wakafurushwa na walikataa kubadili imani.
 
allah wenu ni tapeli sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…