Unawaona kama wema wakiwa na shida,ila wakipata utulivu tu wanalianzisha chini kwa chini...Wamejifunza kwa Jordani na Lebanoni,Jordani hawana hamu nao hao.
Hongera mhitimu wa Sunday schoolMakundi yote ya kigaidi ya Iran, yanachukiwa na nchi zote za kiarabu.
Ukiwakaribisha Hamas, Hezbollah au Houthis, ujue umeingiza ushetani nchini mwao. Wale biashara yao kuu ni ugaidi. Hawawezi kupata pesa ya Iran mpaka wathibitishe wapo kwenye mapigano.
Salaf?ndo wale mapro wa Saudia au????Kweli kabisa ndio maana katika Salafi tunaitakidi kwamba alqaida, ISS bokoharam, alshabab , hao ikhwaan muslimeen ni katika wapotofu kwani hawafuati mafundisho ya Mtume Mohamad S.A.W na wema waliotangulia katika karne tatu bora .. lakini ukiongea haya maneno wasiojua dini yao na kufuata mihemko watakusema na kutukana mpaka basi